Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Si juzi pale kibaigwa alisema anawathamini sana wakulima sasa wamlipe mkulima deni lake
Ubabe unaigharimu Nchi pesa iliyotika kwenda kutoa Rushwa South Africa, gharama za mawakili viongozi wa Serikali utitiri waliokwenda kule ni pesa nyingi sana na ingeweza kupunguza Deni na leo hii kusingekuwa na mjadala huu, ubabe toka kolomije unaigharimu nchi
 
Jamaa naona kashikwa sehemu nyeti

Ukiona haya yanazidi kutokea ujue JPM bado haja wavunja moyo (haja wa disappoint) waTanzania. Bado yuko na kasi ileile aliyoanza nayo. Bado hajawasujudia mabeberu.
Bravo JPM
Bravo Tanzania.
 
Mtawanyoosha wapi wakati tayari mmekalia "MIDLE FINGER"?. Hata Mugabe alikuwa hivyo na sifa za kijinga ila sasa Wazimbabwe wote hasa wale waliokuwa wanamsifia wanaugulia maumivu ya midle finger...

We umekalia gumba[emoji106][emoji16]
 
Ndege hiyooooooooo
Ukiona haya yanazidi kutokea ujue JPM bado haja wavunja moyo (haja wa disappoint) waTanzania. Bado yuko na kasi ileile aliyoanza nayo. Bado hajawasujudia mabeberu.
Bravo JPM
Bravo Tanzania.
 
Nchi za Africa kufanikiwa kiuchumi ni kwa mbinde sana, wazungu wanatumia jitihada nyingi kuturudisha nyuma
 
Ukiona haya yanazidi kutokea ujue JPM bado haja wavunja moyo (haja wa disappoint) waTanzania. Bado yuko na kasi ileile aliyoanza nayo. Bado hajawasujudia mabeberu.
Bravo JPM
Bravo Tanzania.
CCM mkienda kuomba omba misaada munawaita wazungu wafadhili lakini mkivurunda wakawakemea mnaanza kuwaita mabeberu
 
Nchi za Africa kufanikiwa kiuchumi ni kwa mbinde sana, wazungu wanatumia jitihada nyingi kuturudisha nyuma
Kwa Tanzania inajirudisha nyuma yenyewe siyo wazungu, Ubabe wa Naibu Rais Daud Bashite na Mtukufu malaika toka chato vina uhusiano gani na wazungu?
 
Naunga mkono Hoja yako kwa 100% mwaka 2026 akiingia Rais mpya lazima Doto, Daud Bashite na wenzao watakwenda segerea keko Ukonga
Nayaona ya masamaki na chiluba kwa hizi pamba sikioni zinatazama Leo hazioni hatari ya kesho,Maisha ni upepo wapi kina masha na ngeleja Leo wanasalimia kila mtu.Hakuna kipya chini ya jua.Mtu aliyeelimika atembei gizani utazama kivuli chake
 
Back
Top Bottom