Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

TUNAWAKUMBUSHA TU KWAMBA KESHO NI "UCHAFUZI" WA SIRIKALI ZA MITAA,WASIFUNIKE KIKOMBE (KU_SPIN) MWANAHARAMU WA UCHAFUZI APITE TUKIJA KUSTUKA TUMESHALIWA,,,,HUYO STYNE KWANI NDIO LEO AMEISHIKA NDEGE YETU? YAANI TEETH HAWANA INTELEJENSIA YA KUJUA MISSION ZA STYNE?
 
Huu ni uhuni mkubwa.

ACACIA sasa inamtumia mkulima kutuadabisha... hao barik wapo Canada hivyo wanajua nini wanakifanya
 
Mkulima kala mbegu anataka kutuua njaa!! ' Mkulima huyu vp, Mkulima katokotaaaa!!!!. Mbona Mkulima anatutesa hivi?
 
Kwa kuwa hatujakabidhiwa rasmi sisi tutawadai watengenezaji watuletee ndege yetu maana bado ilikuwa mikononi mwao
 
Pesa za kurudia chaguzi za madiwani na wabunge waliohamia CCM zingetosha kulipa deni la mkulima. Kwanini tusilipe ili kuondoa hii mambo ya kufedheheshana kunakojirudia rudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…