Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Tutasimama kwa "miguu yetu". Tumeishaamua kupata tunacho kitaka kama nchi.
 
Bado nina imani na jopo letu la mawakili, Natumai watashinda hata hili kwani sio mara yao ya kwanza kushinda kesi wakiwa nje ya nchi yetu [emoji123]
Halikushinda jopo la wanasheria, pale ilitembea siasa tu. Joburg tulisaidiwa tu na Cyril Ramaphosa, sikuona argument toka kwenye jopo letu ya kushawishi kisheria ku turn down madai ya mkulima
 
Pangaboi lakamatwa.Majalala jicho kodo...
 
Haya mambo ya ndege zetu kukamatwa sasa yametuchosha, vipi kuhusu usalama wa ndege zetu kutua London?.

Dawa ya deni siku zote ni kulipa, hili la kukamatwa ndege zetu kuna watu wanaliona kama ni jambo la ajabu, lakini kuna watu ndani ya serikali hii hii, walitoa angalizo mapema kabisa kuhusu madeni chechefu, lakini wale wa kujimwambafy wakajifanya miamba na kutia pamba masikioni.

Prof. Kabudi anailaumu Canada kuruhusu ndege zetu kukamatwa, hata zisingekatiwa Canada zingeruka wapi?, wakati watu wana amri halali ya attachment!.

P
 
“Jambo linalosikitisha ndege zilizokuwa zinatoka Marekani aina ya Dreamliner mbili hazikukamatwa zimefika lakini kila ndege inapotakiwa kuondoka Canada tunashangaa hao matapeli wanajuaje na ndege zinakamatwa.”


Huwa baadhi ya watanzania wanatangaza pale ndege zinapopashapasha kwaajili ya kuja nchini
 
Anataka mhimili uluojichimbia uingilie kati
 


Kuna sehemu habari inavuja, hivi imekamatwa ikiwa mikononi mwa marubani wetu au mikononi mwa mtengenezaji?
 
Tundu Lisu ndio injini behind kukamatwa ndege kanada kupitia kampuni yake ya uwakili aliyoajiriwa.Yeye ndie technocrat wao wa kisheria wa kuikomoa serikali ya Tanzania wa kesi za wadai wa kimataifa wanaoidai Tanzania .Hana uzalendo mjinga mkubwa
Unaandika utadhani umekalia kijina cha moto.
 
Hivi zile takataka alizotoa jiwe kwa ATCL uwa zinaruka kweli?or it was a ploy to have them serviced by ATCL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…