Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Hawa viongozi wetu sijui wakoje tu!!

Yaani wanaongea kana kwamba sisi wananchi tunaowatazama na kuwasikiliza wanachozungumza ni wapumbavu na wajinga wa kiwango cha bata ndege.....

KWA SABABU ILI TUKUBALIANE NA KABUDI, BASI TUJIULIZE MASWALI KUNTU HAYA:

å Hivi kweli kama mlishinda kesi iweje mtu hiyo huyo aende ashike mali yako kwa jambo lilelile lililokwisha kutolewa maamuzi na mahakama??

å Ina maana huyu mkulima Steyn, amekwenda kienyeji tu mahali ambapo Tanzania imepaki ndege yake huko Canada na kutamka nimeikamata ndege ya Tanzania kwa sbb naidai na serikali ya Canada ikakubali?? Seriously??

å Wewe Bw Kabudi je, si kwamba huyu mkulima amefuata taratibu zote za kisheria kwa kupitia mahakama ya Canada na kupata amri halali ya kushikilia ndege yetu ?? Sasa leo iweje umwite tapeli mtu anayekudai deni lake halali kwa njia halali??

å Leo unamwitaje huyu mtu kuwa ni tapeli? Hivi ni kwanini msimwambie ndugu Rais ukweli tu?

å Je, si kwamba ni wakati sahihi sasa kuwaambia watanzania nini mlikubaliana na huyu Mkulima kule SA alipoikamata Dreamliner na kukubali kuiachia ndege??

Ndiyo, kwa tukio hili, ni wazi kuna jambo serikali ilikubaliana na huyu mdai wake na imeshindwa kulitekeleza kwa wakati na ndiyo maana jamaa kapata uhalali wa kukamata Mali za serikali ya JMT kwa mara nyingine tena.....!!!

Wewe Kabudi na serikali yako hebu semeni ukweli acheni kutwisha mizigo yenu watu wasiohusika...
 
Naomba kujua tunadaiwa sh ngapi, mpaka tunapambana kukata rufaa!
Make hao wanasheria wasije shindwa tukaja ambiwa tulipe tena na gharama za kesi.

Huu ni utawala dhalimu na wa kibabe perce!
Magufuli anadhani ubabe anao-apply hapa nyumbani anaweza kufanya kwene nchi za wengine! Solution ni kumlipa huyu mkulima Bw. Steyn na kumalizana naye! Kumbka hilo deni lina riba inayo ongezeka kila siku na bado kuna gharama za hao Wanasheria wanaoruka kila siku kwenda kwene hizi kesi za madai…!
 
Hawa viongozi wetu sijui wakoje tu!!

Yaani wanaongea kana kwamba sisi wananchi tunaowatazama na kuwasikiliza wanachozungumza ni wapumbavu na wajinga wa kiwango cha bata ndege.....

KWA SABABU ILI TUKUBALIANE NA KABUDI, BASI TUJIULIZE MASWALI KUNTU HAYA:

å Hivi kweli kama mlishinda kesi iweje mtu hiyo huyo aende ashike mali yako kwa jambo lilelile lililokwisha kutolewa maamuzi na mahakama??

å Ina maana huyu mkulima Steyn, amekwenda kienyeji tu mahali ambapo Tanzania imepaki ndege yake huko Canada na kutamka nimeikamata ndege ya Tanzania kwa sbb naidai na serikali ya Canada ikakubali?? Seriously??

å Wewe Bw Kabudi je, si kwamba huyu mkulima amefuata taratibu zote za kisheria kwa kupitia mahakama ya Canada na kupata amri halali ya kushikilia ndege yetu ?? Sasa leo iweje umwite tapeli mtu anayekudai deni lake halali kwa njia halali??

å Leo unamwitaje huyu mtu kuwa ni tapeli? Hivi ni kwanini msimwambie ndugu Rais ukweli tu?

å Je, si kwamba ni wakati sahihi sasa kuwaambia watanzania nini mlikubaliana na huyu Mkulima kule SA alipoikamata Dreamliner na kukubali kuiachia ndege??

Ndiyo, kwa tukio hili, ni wazi kuna jambo serikali ilikubaliana na huyu mdai wake na imeshindwa kulitekeleza kwa wakati na ndiyo maana jamaa kapata uhalali wa kukamata Mali za serikali ya JMT kwa mara nyingine tena.....!!!

Wewe Kabudi na serikali yako hebu semeni ukweli acheni kutwisha mizigo yenu watu wasiohusika...

Sina hakika iwapo hawa Mwambafies wanaelewa…!
CC: Profedha Kabudi.
CC: Dk. Pombe Magufuli.
 
Yeah kama deni halali dawa ni kulipa hamna namna
Ni halali Mkuu,kama Mwinyi,Mkapa,Kikwete wote kwa nyakati zao walilipa awamu ya tano hawataki kulipa na wanampiga mrufuku mdeni kukanyaga nchini kwa mzungu hapo mtacheza mganda.
 
Wapo watu ambao wamedhamiria kwa nguvu zao zote kuihujumu serikali na nchi yetu.Watu hawa naamini wapo ndani ya serikali na nje ya serikali.Wataichezea nchi yetu mpaka lini?Nashauri watu hawa wasambaratishwe once and for all by using all possible means ili iwe fundisho kwa wengine wenye nia ovu kama yao.Watanzania hatuwezi kuendelea kuchezewa namna hii.Wao wametangaza vita na sisi tuingie vitani.
 
Kwa hili la Steyn, Prof Kabudi unacheza kamari. Kumbuka Serikali ya Canada ni ndoto kuingilia huu mgogoro. Nikukumbushe kuwa Mkulima Steyn ni Myahudi na kwa hiyo ni automatically ni dual citizen wa Uyahudi na city of Montreal, Canada wabobezi wa sheria ni Wayahudi, kwa taarifa fupi hii ni ndoto kushinda hii case. Canada siyo Afrika Kusini. Chonde chonde lipa deni la huyu Mkulima.
 
Back
Top Bottom