Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangekaa chini na huyo mkulima wawe wanamlipa kidogo kidogo kama alivyokuwa akilipwa na mwinyi mkapa Kikwete waache ubabe na za dhuluma za kishambaKutoka million $16 hadi sijui $33 unataka walipe just like that?
Anyway ngoja tuone utaishia vipi
Tunampambania 😆😆😆😆
jiwe anataka watu wa hivyo .Tatizo Kabudi ni muongo sana
ApigweYuko wapi Kabudi?View attachment 1270373
Utawala huu una waganga wake kipo kitengo maalum kipo chini ya Daud Bashite kina waganga 65 toka mataifa mbalimbali na mtu anayetumwa kwenda kuwachukua ni Le mutuz, huyo anajua kila mganga mkali popote Duniani.Jamani watanzania huyo si mkulima, atakuwa mfanyabiashara. Wakulima hawa hawa tunao wafahamu sisi ambao ukiwadhulumu wanakuendea kwa babu kukuloga.
Utawala huu awamu ya tano ya wasukuma wawili Naibu Rais Daud Bashite na mtukufu malaika toka chato ni waumini wa Ndege na hupata 10% kwenye ununuzi wake ndiyo maana mkulima kalenga huko huko iwe rahisi kulipwa Deni lake😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 huyu mkulima ni nomaaa,anapenda ndege sana,itabidi tumtengenezee za mabox tumpe labla ataacha kukamata ndege zetu
Dawa ya Deni ni kulipa walipe Deni waache ubabe na ligi zisizo na Tija kwa TaifaHaya mambo ya ndege zetu kukamatwa sasa yametuchosha, vipi kuhusu usalama wa ndege zetu kutua London?.
Dawa ya deni siku zote ni kulipa, hili la kukamatwa ndege zetu kuna watu wanaliona kama ni jambo la ajabu, lakini kuna watu ndani ya serikali hii hii, walitoa angalizo mapema kabisa kuhusu madeni chechefu, lakini wale wa kujimwambafy wakajifanya miamba na kutia pamba masikioni.
Prof. Kabudi anailaumu Canada kuruhusu ndege zetu kukamatwa, hata zisingekatiwa Canada zingeruka wapi?, wakati watu wana amri halali ya attachment!.
P
Mbona zamani haya mambo hayakuwepo
Hiki kikundi kilitumia pesa nyingi South Africa ikiwemo kutembeza Rushwa hakifai kupelekwa popote gharama zake ni kubwa mara mia kupunguza Deni kuliko kugharamia hicho kikundi kwenda tena Canada.Au tuwapeleke mabingwa wetu wa sheria, ma PhD holders tulip ambiwa walitiririka vifungu vya sheria kwa mtindo wa Rap kama vile Profesa J au Roma!
Hakika nchi yetu imejaliwa vipaji na elimu hadi nchi zingine zinatuonea wivu na kutufuatafuata.
Hawa ndio magwiji wetu Mkulima hana hamu!View attachment 1270195
Kipind Hiki Unaweza Kuidai Serikali Ya Tanzania Mahakama Ya Tanzania Wakakulipa???Tatizo deni lenyewe nalo liliongezekea katikati. Na huyo mtu ajafungua kesi Tanzania ya madai serikari imeshindwa kumlipa bali anakimbilia mahakama za kimataifa kwa madai ndani atosikilizwa.
Why so?