Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Kutoka million $16 hadi sijui $33 unataka walipe just like that?

Anyway ngoja tuone utaishia vipi
Ukidaiwa Usipolipa Deni Hakuna Fidia Ya Adhabu??

Tusimkomalie Huyu Jamaa Ila Tujijue Sisi Tulikosea Wapi, Na Sheria Zinasemaje, Kama Kweli Jamaa Ni Tapeli Huko SA Na Canada Asingefaulu Kutukamatia Mali Zetu.

Niamini Huyu Mkulima Ana Haki Na Anajua Nini Anafanya Na Sababu Anazo Ndio Maana Kila Anapoenda Anasikilizwa.
 
Dawa ya Deni ni kulipa siyo kupanga mipango Haramu isiyo na Tija kwa Taifa acheni kutengeneza mazingira ya kuwabambikia watu lawama zisizo zao
There is something fishy here,haiwezekani mtu ashindwe kesi SA halafu ahamie Canada,anashawishiwa huyu.Wanaom
shawishi Watanzania tutalala nao mbele,ila msilalame.
 
Sijui kwa nini, yaani naona sawa tu haya madege kukamatwa! Ni kipaumbele cha mtu mmoja, bunge lenyewe pengine halipitishi hiyo baketi ya kununua madege! Mkulima asipangiwe cha kufanya......
 
mchezo huu wa kutomlipa mkulima Styn unafanywa na serikali yenyewe .... je ? serikali ijishughulikie yeynyewe? zakwako changanya na za mbayuwayu
Hivi ujinga huu unautoa wapi,ushinde kesi halafu ulipe,umeona wapi.Ngoja nikuambie,huyu anachochewa.Ngoja tuone mwisho wa haya mambo,ila watu wasije wakalalamika.No body can tolerate this.Why should the government be kept always on the run.
 
Hahahaaa nachekea uvunguni.

Unaambiwa huyu mkulima baada ya kupokonywa mali zake alifungua kesi akashinda.Na serikali zote zilikuwa zinalipa huyu Mywether kakataa.

Ndo hivo sasa
Na huyu mtukufu malaika toka chato kagoma kumlipa kienyeji kwa njia haramu baada ya kumshauriwa na majalala kabudi na Naibu Rais Daud Bashite wakiwa na nia ya kupora ile pesa iliyokuwa akilipwa kwenda kwenye mifuko yao binafsi, mkulima wa kizungu anajua kila kitu kuwa malipo yake yalitoka lakini Kabudi na wenzake wameichukua pesa yake
 
Ukidaiwa Usipolipa Deni Hakuna Fidia Ya Adhabu??

Tusimkomalie Huyu Jamaa Ila Tujijue Sisi Tulikosea Wapi, Na Sheria Zinasemaje, Kama Kweli Jamaa Ni Tapeli Huko SA Na Canada Asingefaulu Kutukamatia Mali Zetu.

Niamini Huyu Mkulima Ana Haki Na Anajua Nini Anafanya Na Sababu Anazo Ndio Maana Kila Anapoenda Anasikilizwa.
Mzungu anayo Haki kiukweli lakini badala walipe Deni wameamua kutengeneza Ligi kwa gharama kubwa zaidi ya Deni husika
 
Huyu Mama anamsanifu Kaputi
Screenshot_20191123-234135.jpeg
 
Yaani wachekelea ? Hovyo kabisa ! Eti na wewe wajiita mtanzania?
MM NI MZANZIBAR SIYO MTANZANIA KWANI ILIPO UNGANA ZANZIBAR NA TANGANYIKA ILIKUA BABA ANGU KASHAZALIWA NA YUPO ZANZIBAR MWAKA 1959 KWAHIYO MM NI MZANZIBAR SIYO MTANZANIA SIJUI WW UNAE KATAA KUITWA TANGANYIKA
 
There is something fishy here,haiwezekani mtu ashindwe kesi SA halafu ahamie Canada,anashawishiwa huyu.Wanaom
shawishi Watanzania tutalala nao mbele,ila msilalame.
South Africa hakushindwa kesi bali Tabia mbovu za kiafrika zilipenyezwa kule Rushwa ikatembea Sheria zikapindishwa ndipo Ndege ikaachiwa, lakini gharama iliyotumika South Africa kuanzia kulipia maegesho ya Ndege kula kunywa kwa kile kikundi kikubwa ni fedha ambazo zingeweza kupunguza Deni kuliko kuendekeza Ligi ya kibabe isiyo na Tija kwa Taifa.
 
Kuna kila dalili ya waandamanaji wa kukodiwa kuvamia ubalozi huu baada ya kulipwa hela ndogo (elfu 5 au elfu 10) kwa kisingizio cha kushinikiza ndege iliyodakwa kwa sababu ya dhuluma iachiwe, kwahiyo ni vema ubalozi ukachukua hatua za kujilinda bila ya kumtegemea yoyote yule, maana pamoja na kuwepo polisi bado ubalozi wa Afrika Kusini ulivamiwa.

Wavamizi wale hawakufanywa chochote na bado wapo na wanadunda. Mratibu wa uvamizi ule bado yupo pia.

Ni hayo tu kwa leo.

NB: Hapo chini ni picha za waandamanaji waliolipwa wakipiga kelele kwenye ubalozi wa South Africa mapema mwaka huu.

2219990_IMG_20191123_111642.jpeg

2219992_IMG_20191123_111638.jpeg
 
South Africa hakushindwa kesi bali Tabia mbovu za kiafrika zilipenyezwa kule Rushwa ikatembea Sheria zikapindishwa ndipo Ndege ikaachiwa, lakini gharama iliyotumika South Africa kuanzia kulipia maegesho ya Ndege kula kunywa kwa kile kikundi kikubwa ni fedha ambazo zingeweza kupunguza Deni kuliko kuendekeza Ligi ya kibabe isiyo na Tija kwa Taifa.
Hakuna ubabe hapa,let us be serious, msishabikie ujinga.Kweli SA Steyn hakushindwa kesi!Nonsense.
 
Back
Top Bottom