Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
It is complicated mahakama kwanza inalenga kufidia mbuzi kwa mbuzi; na sio mbuzi kwa n’gombe.Ukidaiwa Usipolipa Deni Hakuna Fidia Ya Adhabu??
Tusimkomalie Huyu Jamaa Ila Tujijue Sisi Tulikosea Wapi, Na Sheria Zinasemaje, Kama Kweli Jamaa Ni Tapeli Huko SA Na Canada Asingefaulu Kutukamatia Mali Zetu.
Niamini Huyu Mkulima Ana Haki Na Anajua Nini Anafanya Na Sababu Anazo Ndio Maana Kila Anapoenda Anasikilizwa.
Kwa maana hiyo namna gani una justify kiasi cha fidia kutoka kwa mbuzi mpaka ngamia kuna vigezo vyake ambavyo vinapimwa kwa kuangalia “expectation loss” which could calculated based on the case scenario.
Kuna “Liquidated (fixed) damages” ambazo zinatokana na maamuzi ya mahakamani kama iliweka kiwango cha fidia kitakacholipwa itakapotokea breach ya malipo ambayo yameshaamuliwa
Kesi zenyewe zinafunguliwa serikari aina hata habari huku asset zao zinashikiliwa (this is a wrong legal process) au kufunguliwa nchi ambazo hazina mamlaka.
Ni hivi kungekuwa na wanasheria wazuri hiyo kesi sasa hivi wangekuwa washaizima na serikari inawadai fidia bombardier; how so, story ni ndefu.
Alamsiki