Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Ukidaiwa Usipolipa Deni Hakuna Fidia Ya Adhabu??

Tusimkomalie Huyu Jamaa Ila Tujijue Sisi Tulikosea Wapi, Na Sheria Zinasemaje, Kama Kweli Jamaa Ni Tapeli Huko SA Na Canada Asingefaulu Kutukamatia Mali Zetu.

Niamini Huyu Mkulima Ana Haki Na Anajua Nini Anafanya Na Sababu Anazo Ndio Maana Kila Anapoenda Anasikilizwa.
It is complicated mahakama kwanza inalenga kufidia mbuzi kwa mbuzi; na sio mbuzi kwa n’gombe.

Kwa maana hiyo namna gani una justify kiasi cha fidia kutoka kwa mbuzi mpaka ngamia kuna vigezo vyake ambavyo vinapimwa kwa kuangalia “expectation loss” which could calculated based on the case scenario.

Kuna “Liquidated (fixed) damages” ambazo zinatokana na maamuzi ya mahakamani kama iliweka kiwango cha fidia kitakacholipwa itakapotokea breach ya malipo ambayo yameshaamuliwa

Kesi zenyewe zinafunguliwa serikari aina hata habari huku asset zao zinashikiliwa (this is a wrong legal process) au kufunguliwa nchi ambazo hazina mamlaka.

Ni hivi kungekuwa na wanasheria wazuri hiyo kesi sasa hivi wangekuwa washaizima na serikari inawadai fidia bombardier; how so, story ni ndefu.

Alamsiki
 
Kweli wabongo wafadhilaka wapundaka acheni chuki linapokuja suala la utaifa ni lazima tuache tofauti zetu tuwe kitu kimoja ndio maana wazungu ni rahisi sana kututawala sababu wanajua visokorokwinyo ni wengi hata maandiko matakatifu yanasema it’s better to have hundreds enemy’s than having one fool brother ndio maana wakoloni ilikuwa rahisi kututawala
 
Serkali haina shida na balozi, uhusiano wetu na Canada uko vizuri yale ni maamuzi ya mahakama ya Canada sio serial ya Canada

Umeandiki kichadema chadema maana nyie maandamano ndio akili yenu ilipoishia


State agent
Unabishana na watu wenye uelewa mpana.
Anaye mpinga Magufuli ni sawa na kumpinga mungu...Ulisema
 
anaesababisha haya na kuligawa taifa anajulikana,haiwezekani ushindi uwe "wangu" alafu tukishindwa useme "sisi"...siasa za kuligawa taifa mbaya sana,sababu kitu cha taifa ila kundi fulani linaweka kuwa upande wao tu,kwa hiyo hata hasara kubalini iwe upande wenu!
Kweli wabongo wafadhilaka wapundaka acheni chuki linapokuja suala la utaifa ni lazima tuache tofauti zetu tuwe kitu kimoja ndio maana wazungu ni rahisi sana kututawala sababu wanajua visokorokwinyo ni wengi hata maandiko matakatifu yanasema it’s better to have hundreds enemy’s than having one fool brother ndio maana wakoloni ilikuwa rahisi kututawala
 
Serkali haina shida na balozi, uhusiano wetu na Canada uko vizuri yale ni maamuzi ya mahakama ya Canada sio serial ya Canada

Umeandiki kichadema chadema maana nyie maandamano ndio akili yenu ilipoishia


State agent
Wewe na wajinga wenzako kina jingalao,kawe alumni na nguruwe wengine mlikuwa mnapendekeza tuwasusie Canada, nyie wapuizi sana.
 
Na mkulima akishalipwa deni lake ichomwe tuu ama waidismantle hukohuko canada na kuuza vipuri. Tunachezeachezea hela kununua wapinzani
 
Huu mdomo wa kabudi utatuponza. Kiongozi mwenye akili timamu huwezi sema et tunahujumiwa na mabeberu sababu hwapendi maendeleo yetu. Leo ukizunguka karibu madaraja yote utakuta vibao vya kwa msaada wa watu wa marekani. Hawa hawa wametuzungushia umeme nch nzima. Then unasema hwapend maendeleo. Maendeleo gani kwanza mnayoyaongelea?
 
Kumbe, hapa stori kwa macho ya TheCitizen
"The story behind ATCL plane seizure in South Africa"

Kumbe aliahidiwa kufidiwa pesa yake tangu mwaka 2014 lakini hakupata chake.
Sijui kama ni kweli.
Ila kwa nini hawakumaliza deni?
Kama ni kweli - basi. Tusishangae.
 
Kamanda ugoro umekuzeesha hadi unashindwa kuandika

Canada walizuia ya kwanza wakaachia hata hii wataachia tu VP uchaguzi huko arusha


State agent
Wewe na wajinga wenzako kina jingalao,kawe alumni na nguruwe wengine mlikuwa mnapendekeza tuwasusie Canada, nyie wapuizi sana.
 
Story tena
"miaka ya 1990, mahakama iliamuru alipwe $33 million kama fidia.
Mnamo tarehe 4 May 1985, bwana Steyn alijulishwa kiasi cha fedha atakacholipwa kama fidia. Siku tisa baadaye, Steyn alikubali kupokea taarifa hiyo lakini hauthibitisha kwamba amekikubali kiwango cha fidia hiyo.
Lakini kwa mujibu wa baadhi ya taarifa, serikali ya Tanzania ilimlipa $20m pekee.
Wakili wa Steyn ameviambia vyombo vya habari kwamba kufuatia miaka mingi kupita bila kukamilishwa kwa deni hilo, kiasi cha $16 milioni kilichobaki kimeendelea kuongezeka kwa riba hadi kufikia tena $33 milioni."

Kweli hiyo? Kulikuwa na sababu za kutomlipa?
 
Chuki na kisasi so suluhisho badala yake ni kukaa chini, kujifikiria vyema na kusahau!
 
Prof. Kabudi inabidi tuangalie upya uhusiano wetu na Canada, a) Watanzania wangapi wanakwenda Canada kila mwaka? b) Canadians wangapi wanakuja Tanzania kila mwaka? c) What are the trade volumes between our countries and d) Uwezekano wa kusitisha diplomatic relations.

As a Country tunatakiwa sasa Kusuka au Kunyoa. Makosa makubwa yalitokea pale walipoilipa ile kampuni ya Sterling kama sikosei kule Canada kwa sababu ile kesi iliweka precedent.
 
Kuna kila dalili ya waandamanaji wa kukodiwa kuvamia ubalozi huu baada ya kulipwa hela ndogo ( elfu 5 au elfu 10 ) kwa kisingizio cha kushinikiza ndege iliyodakwa kwa sababu ya dhuluma iachiwe , kwahiyo ni vema ubalozi ukachukua hatua za kujilinda bila ya kumtegemea yoyote yule , maana pamoja na kuwepo polisi bado ubalozi wa Afrika kusini ulivamiwa .

Wavamizi wale hawakufanywa chochote na bado wapo na wanadunda , Mratibu wa uvamizi ule bado yupo pia .

Ni hayo tu kwa leo

Huu umbeya sasa, unajishushia hadhi yako kama kiongozi wa JF, yaani walipwe watu pesa waandamane?
 
Hili ni angalizo zuri tena sio tuu waandamanaji wanapangwa, bali hata FFU wanapangwa namna ya kuyasambaratisha kistaarabu kama hivi

P
 
Back
Top Bottom