The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Hawa viongozi wetu sijui wakoje tu!!
Yaani wanaongea kana kwamba sisi wananchi tunaowatazama na kuwasikiliza wanachozungumza ni wapumbavu na wajinga wa kiwango cha bata ndege.....
KWA SABABU ILI TUKUBALIANE NA KABUDI, BASI TUJIULIZE MASWALI KUNTU HAYA:
å Hivi kweli kama mlishinda kesi iweje mtu hiyo huyo aende ashike mali yako kwa jambo lilelile lililokwisha kutolewa maamuzi na mahakama??
å Ina maana huyu mkulima Steyn, amekwenda kienyeji tu mahali ambapo Tanzania imepaki ndege yake huko Canada na kutamka nimeikamata ndege ya Tanzania kwa sbb naidai na serikali ya Canada ikakubali?? Seriously??
å Wewe Bw Kabudi je, si kwamba huyu mkulima amefuata taratibu zote za kisheria kwa kupitia mahakama ya Canada na kupata amri halali ya kushikilia ndege yetu ?? Sasa leo iweje umwite tapeli mtu anayekudai deni lake halali kwa njia halali??
å Leo unamwitaje huyu mtu kuwa ni tapeli? Hivi ni kwanini msimwambie ndugu Rais ukweli tu?
å Je, si kwamba ni wakati sahihi sasa kuwaambia watanzania nini mlikubaliana na huyu Mkulima kule SA alipoikamata Dreamliner na kukubali kuiachia ndege??
Ndiyo, kwa tukio hili, ni wazi kuna jambo serikali ilikubaliana na huyu mdai wake na imeshindwa kulitekeleza kwa wakati na ndiyo maana jamaa kapata uhalali wa kukamata Mali za serikali ya JMT kwa mara nyingine tena.....!!!
Wewe Kabudi na serikali yako hebu semeni ukweli acheni kutwisha mizigo yenu watu wasiohusika...