Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Dawa ya deni kulipa, isiposhikwa hii ndege unaweza kusikia jengo la ubalozi linapigwa mnada.

Kwa nini unataka kuishi kwa ujanjaujanja wakati dawa ya deni ni kulipa?
 
Hii yote ni aibu ya uchaguzi wa serikali za mitaa mnataka kututoa kwenye reli, mbona hawataki kusema ilikamatwa lini, halafu eti waziri ndo anajidai kutoa taarifa kwa Rais kwenye adhara jambo kubwa kama hilo.Hii picha ni ya Kihindi kabsaa.
 
Halafu Profesa macho kodo anasema eti walishinda kesi mahakamani?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa kama kesi mlishinda inakuwaje mnatuma mawakili kugomboa ndege. Si atumwe mtu mmoja tu aende na 'nakala ya hukumu' ndege iachiwe? Mataga kweli!!!!
Tena mahakama yenyewe ipi hiyo ,ya apo kivukoni?
Inayotarajia kupewa ruzuku kwa kuwaridhisha wakuu, Nahofia hawawezi hata kuchungulia na hati hiyo duniani.
 
Hizo ndege,ni matokeo ya kutumia ubabe badala ya akili.

Kudil na wazungu ni lazima utumie akili kubwa sana.

Bila hivyo huyu Kabundi na uprofesa wake atakuwa analia lia tu kila siku.
 
Mtoa mada hawapendi wazungu...da! Kosoma, kuandika vyote kakufundisha mzungu, hata hicho kifaa unachotumia kumlaani kakibuni na kukitengeneza mzungu...mzungu ni mtu kama wewe, tatizo wewe hupendi watu waliopiga hatua kubwa za maendeleo au wenye fikra kubwa kuliko zako. Wenzetu wanaheshimu vyombo walivyojiwekea vya kutafutia haki zao pale zinapo porwa. Mahakama ziko huru na serikali zinawajibika kwa wananchi siyo vinginevyo.
 
Anae shika ndege sio mjinga hata siku moja.kumbuka kushika ndege ni ishu kubwa sana kwa hivyo kwa hiyo tusimuchukulie poa kabisa tulipe deni mdeni wetu na yeye atakua anadaiwa huko,tulipe deni tujichange jamani
 
Halafu Profesa macho kodo anasema eti walishinda kesi mahakamani?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa kama kesi mlishinda inakuwaje mnatuma mawakili kugomboa ndege. Si atumwe mtu mmoja tu aende na 'nakala ya hukumu' ndege iachiwe? Mataga kweli!!!!
Mkuu nisaidie.Sijachelwa sana,Au wakili machachari anisaidie.Au waziri,.Inakuwaja nchi ishinde kesi halafu mtu huyo akate rufaa ashindwe,mtu huyo huyo aende akakamate tena ndege ya nchi hiyo hiyo.Naona kama kipindi hiki atabaki nayo tu.
 
Dawa ya Deni Ni kulipa! Hamna namna nyingine! Nachelea yawezekana kuna watu wanampotosha Rais. Kumpotosha Rais Ni kuliletea Taifa fedheha!
 
Kumbe Jiwe naye ana hela hewa kama wafanya kazi hewa, ni hewa kwa hewa miaka hii 4. na ndege imebanwa pabaya karibu na uchaguzi, hao watetezi wa ndege mawakili wakienda huko wakirudi wanakuta aliye watuma yuko bench


Wakifanya kosa la kulipa tu, utakuja msururu wa madai, madai yatazidi kipimo cha pesa, kila kona sisi ni wadaiwa sugu tu
 
Watanzania mil 5 wanatosha murudishe ndege ya magufuli kama kila mmoja atanchangia only buku 5.

Naomba prof kabudi aitishe harambee wiki ijayo tunalize hYa mambo.
 
Shida kila kitu sasa ni siasa.Hata kama tumeonewa au tumeonea hakuna kinachojulikana.Sasa watanzania wamekua maadui wenyewe kwa wenyewe
 
Eeh naunga mkono hoja.

Ataechanga nyingi I mean ataechanga mchango mkubwa apewe completementary ticket ya kwenda popote anapotaka nchini kwa ndege ya ATCL kwa mwaka mzima.

Rest in peace R. Mengi, angetaka kuchangia hata zaidi ya TZS 1 milioni.
 
Kwanini uwasumbue wananchi wanyonge?waambie wanaojiita WAZALENDO wa nchi Pascal Mayalla,na Mshamba anayejiita Mwanahalakati njaa MSIBA,waache polojo walipe pesa za MKULIMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…