Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Au tuwapeleke mabingwa wetu wa sheria, ma PhD holders tulip ambiwa walitiririka vifungu vya sheria kwa mtindo wa Rap kama vile Profesa J au Roma!
Hakika nchi yetu imejaliwa vipaji na elimu hadi nchi zingine zinatuonea wivu na kutufuatafuata.

Hawa ndio magwiji wetu Mkulima hana hamu!
IMG_20191123_131612.jpeg
 
Haohao ndio wamiliki wa migodi.... hivi huyo mkulima anatudai hatudai?
Je Mheshimiwa Waziri Profesa... hajui kutofautisha neno tashwishwi na tashwishi?
Mabeberu na michezo yao ya kishetani

Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu

Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
 
Mabeberu na michezo yao ya kishetani
Ndo shida kichwani kunapotumika kuhifadhi kinyesi badala ya tumboni.unajikuta una poo kupitia mdomo.

Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu

Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
 
Au tuwapeleke mabingwa wetu wa sheria, ma PhD holders tulip ambiwa walitiririka vifungu vya sheria kwa mtindo wa Rap kama vile Profesa J au Roma!
Hakika nchi yetu imejaliwa vipaji na elimu hadi nchi zingine zinatuonea wivu na kutufuatafuata.

Hawa ndio magwiji wetu Mkulima hana hamu!View attachment 1270195
Au ukute wao ndo wanatengeneza hizi trip ili wapige mahela
 
Mabeberu na michezo yao ya kishetani

Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu

Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Siyo tu afunge barozi wa Canada ,bali wavunje mikataba yote na makampuni ya Canada,ikiwemo wanyonyaji wakubwa BARICK.
 
Hakuna shida Kabudi kasema kuna kanuni ya ‘judgement in rem’ or something like that mambo yatakuwa sawa tu huko mahakamani.

It was a matter of time kabla ya Canada kurudia huo mchezo hawa jamaa huwa hawasikii fungua kesi na wewe kwa bombardier kwa kutoka kamilisha sales purchase agreement au hata kule S.A dai na wewe gharama za loss of business umtie adabu tu huyo mkulima; nah sisi atutaki, kama utaki utachezewa wewe sasa.

Ushauri wa msingi wenye kukomesha hiyo michezo wao huwa wanaona figisu maana wanawataalamu wao wanajua sana ngoja tuone mwisho wa ‘judgement in rem’ ya Kabudi itakapo wapeleka.
 
Siyo tu afunge barozi wa Canada ,bali wavunje mikataba yote na makampuni ya Canada,ikiwemo wanyonyaji wakubwa BARICK.
Mikataba tulisaidia kuidraft wenyewe tena kwa siri kubwa. Hao "mabeberu" sio mabwege. Utakuta contract doc lina pages nyiiiingi na tulivyo wavivu wa kusoma, tunaangalia tu sehemu inayoonyesha amounts na wapi pa kusaini. Huko ndani walikopenyeza clauses nzito na za hatari hata hatupaoni. Sasa thubutu kujaribu kuvunja uone muziki wake
 
Back
Top Bottom