Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Prof. Kabudi inabidi tuangalie upya uhusiano wetu na Canada, a) Watanzania wangapi wanakwenda Canada kila mwaka? b) Canadians wangapi wanakuja Tanzania kila mwaka? c) What are the trade volumes between our countries and d) Uwezekano wa kusitisha diplomatic relations.

As a Country tunatakiwa sasa Kusuka au Kunyoa. Makosa makubwa yalitokea pale walipoilipa ile kampuni ya Sterling kama sikosei kule Canada kwa sababu ile kesi iliweka precedent.
Stupid asshole...
 
Haya mambo ya ndege zetu kukamatwa sasa yametuchosha, vipi kuhusu usalama wa ndege zetu kutua London?.

Dawa ya deni siku zote ni kulipa, hili la kukamatwa ndege zetu kuna watu wanaliona kama ni jambo la ajabu, lakini kuna watu ndani ya serikali hii hii, walitoa angalizo mapema kabisa kuhusu madeni chechefu, lakini wale wa kujimwambafy wakajifanya miamba na kutia pamba masikioni.

Prof. Kabudi anailaumu Canada kuruhusu ndege zetu kukamatwa, hata zisingekatiwa Canada zingeruka wapi?, wakati watu wana amri halali ya attachment!.

P
Hata wewe ulitoa ushauri kuhusu madeni yale embu weke zile thread zako kama anbavyo huwa unafanya
 
wh
1⅕Hawa wanyama pori hawatakuelewa mzalendo wetu. Moyoni mwao ni wafu.
Kwa maneno mengine unaweza sema hiyo ni mizoga inayotembea na isiyoweza kuwaza. Ni mazombi hayo.

Thinking capacity yao equetion yake is equal to ZERO. It is a constant funktion:
Y = 0, while X => infinity.
No oscillation on the Oscilloscope.

Maisha yao, yale ya wazazi wao, mabibi na mababu zao, watoto na ndugu zao wengine hayana maana kwao. Maisha ya mabeberu kwao ndiyo furaha.
[/QUOTEwhen there is actions there is equal position mkuu
 
Dawa ya deni ni kulipa sio kukimbia na kupoteza muda hakuna hamna wamlipe tu serikali iondokane na aibu hii
 
Kamwambie huyu
tapatalk_1574414219590.jpeg
 
Mabeberu na michezo yao ya kishetani

Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu


Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Eti Mali zetu! Kwani wewe pia ni mpwa??? Watanzania wanajua hizi ndege zio zao ndiyo maana hata CAG walizuia asikague! Assard ametoka watanunua zitafika mpaka 100!!
 
Hili ni angalizo zuri tena sio tuu waandamanaji wanapangwa, bali hata FFU wanapangwa namna ya kuyasambaratisha kistaarabu kama hivi

P
Leo umeamka kama Pasco.
 
Namtunuku Mkulima PhD ya Falsafa ya umahiri wa kupigania haki zake
 
"Profesa Kabudi amesema kuendelea kwa vitendo hivyo ni hujuma za mabeberu wasiofurahishwa na maendeleo nchini"

Kupitia nukuu hiyo ya waziri, inaonyesha wala hajali haki ya Bw. Styne. Yeye anakuja na sababu rahisi tu ili kumfurahisha boss wake ambaye naye hapendi kufuata wala kuzingatia sheria. Hivi hawezi kujiuliza ni kwa haki kwa upande wa pili wameona inaweza kupatikana kupitia mahakama nyingine za nchi nje zilizopo chini ya madola na wala siyo hapa nchini?

Anapaswa kuwaambia ukweli Watanzania, kuhusu deni husika na hata haki za msingi za upande wa pili ili suala hili lisizidi kutuletea aibu Watanzania. Dawa ya deni ni kulipa, hata Ingekuwa ni wewe unamdai rafiki yako deni la muda mrefu, na kila siku anakulete sababu lukuki za kushindwa kukulipia, kisha unapata taarifa kuwa amenunua gari jipya tena kwa fedha taslimu! Ni lazima utafanya namna ili aweze pia kukurudishia fedha zako,

Hapo hakuna cha hujuma wala mtu sijui kuitwa beberu mwenye kutokufurahishwa na kasi ya maendeleo yetu, zaidi ya kutafuta jinsi ya kumalizana na mwenye kutudai. Kama haki yake ipo na itakuwepo tu, kuzidi kupuuzia haki zake kutazidi kutuletea adha kama hii inayojitokeza tena na tena.
 
Kuna kila dalili ya waandamanaji wa kukodiwa kuvamia ubalozi huu baada ya kulipwa hela ndogo ( elfu 5 au elfu 10 ) kwa kisingizio cha kushinikiza ndege iliyodakwa kwa sababu ya dhuluma iachiwe , kwahiyo ni vema ubalozi ukachukua hatua za kujilinda bila ya kumtegemea yoyote yule , maana pamoja na kuwepo polisi bado ubalozi wa Afrika kusini ulivamiwa .

Wavamizi wale hawakufanywa chochote na bado wapo na wanadunda , Mratibu wa uvamizi ule bado yupo pia .

Ni hayo tu kwa leo

NB : Hapo chini ni picha za waandamanaji waliolipwa wakipiga kelele kwenye ubalozi wa S.Africa mapema mwaka huu

View attachment 1270738
View attachment 1270739
Maandamano yote hata ya Hong Kong yanaratibiwa mkuu na kundi fulani
 
Hivi balozi anakuwa anafahamu kila kitu au ni baada ya miti kuteleza sasa tunaomba kwa style hiyo, make sidhani kama ni serikali ya Canada ndiyo imeikamata, bali ni mahakama. sasa Hapo hawoni kwamba Muhimili huo utakua unaingilia mambo ya Mahakama au wanadhani ni kama kwetu?
Tulifikiri mji mimi wa mahakama Canada upo mfukoni mwa mtu kama ilivyo Bolivia
 
Tena wamkamate na huyo Waziri akikanyaga Canada ili yeye na aliyemtuma watie adabu.
Na kituo kinachofata ni Mumbai India.
 
Watanzania tupo milioni zaidi ya 50 tunalipa kodi ili kuleta maendeleo nchini
Tunanunua ndege SGR umeme rufiji nk
Leo unachonganisha eti ndege yetu ikamatwe kama kuna mtanzania anafanya hivyo ni laana tu Lilah
 
Naomba Mkulima Steyn akamate madege yote cuz yamenunuliwa kwa wizi na yanajiendesha kwa hasara!

Mawazo yenu yanawafanya muendelee kupukutika iko siku mtajihesabu mmebaki wangapi kwenye hizo saccos, maana wenye akiri wanawatazama tu wanajiondokea.
 
Watanzania tupo milioni zaidi ya 50 tunalipa kodi ili kuleta maendeleo nchini
Tunanunua ndege SGR umeme rufiji nk
Leo unachonganisha eti ndege yetu ikamatwe kama kuna mtanzania anafanya hivyo ni laana tu Lilah
Hili jambo ni swala mtambuka
 
Back
Top Bottom