Kuna kila dalili ya waandamanaji wa kukodiwa kuvamia ubalozi huu baada ya kulipwa hela ndogo ( elfu 5 au elfu 10 ) kwa kisingizio cha kushinikiza ndege iliyodakwa kwa sababu ya dhuluma iachiwe , kwahiyo ni vema ubalozi ukachukua hatua za kujilinda bila ya kumtegemea yoyote yule , maana pamoja na kuwepo polisi bado ubalozi wa Afrika kusini ulivamiwa .
Wavamizi wale hawakufanywa chochote na bado wapo na wanadunda , Mratibu wa uvamizi ule bado yupo pia .
Ni hayo tu kwa leo
NB : Hapo chini ni picha za waandamanaji waliolipwa wakipiga kelele kwenye ubalozi wa S.Africa mapema mwaka huu
View attachment 1270738
View attachment 1270739