Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Utamfanya nini mkulima wakati yupo kwenye nchi za wastaarabu?
Zitumike njia za kimafia tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitumike njia za kimafia tu!
Mtakuwa wanafki kuwasemea watu vibaya ninani mwenye uwezo wakuchongea mambo kama hayo?
Msiwe mnapenda kupachika maneno mdomoni
Tumenunua Rufiji kwa Bei gani? Nani katuuzia?
Kwa wenye akili tayari tumesha kusoma mkuuUnajua kununua ndege mradi wa SGR,umeme rufiji ni miradi mikubwa sana kwa manufaa kwa watanzania
Waramba miguu ndiyo mnatakiwa kuweka akili zenu sawa maana nasikia mkulima tayari yupo bombay
Ukitaka kujua watetezi wa CCM ni wajinga mkuu soma utetezi wao kwa CCM yao, watetezi wa CCM hawataki mkulima wa kizungu alipwe wanataka azurumiwe haki zake kisha wamkomoe Balozi wa Tanzania Nchini canada na kuharibu uhusiano wa Tanzania na canada, watetezi wa CCM wanapenda ubabe wa kishamba shamba usio na Tija kwa Taifa, Dawa ya Deni ni kulipa Mbona mwinyi mkapa Kikwete walikuwa wakimlipa? iweje hawa wababe wajidai kuendekeza dhuluma?kinachonishangaza sana mh.waziri, mwanasheria nguli kuilaumu serikali ya canada wakati anajua wazi hayo ni mambo ya kimahakama. wenzetu wanaheshimiana ktk mihimili. hata afrika ya kusini serikali ya kule haikuiingilia walimalizana mahakamani!!!.kwa nini tusingizie mabeberu na kesi ni ya miaka mingi!?! na jamaa huyuhuyu mkulima alishinda kesi hii hapahapa kwetu TZ. huko kwingine anakazia tu hukumu yake. jamani tumewapa madaraka hayo mtusaidie kuipeleka nchi mbele sio kutupotosha na siasa zenu za miaka ya cold war. muiteni mkulima mkae naye chini muyamalize. vinginevyo jamaa atatuendesha sana, wenzetu huko nje hawana janjajanja nyingi kwenye sheria. Rais anashtakiwa na kushindwa mahakamani, ije iwe kesi zetu hizi!!!. uvunje uhusiano na canada!!! jiulize kwanza nani atapata hasara?!?. jifunze CHINA VS MAREKANI, IRAN VS MAREKANI. Ng'wamishaga mhola bang'wise
Utamfanya nini mkulima wakati yupo kwenye nchi za wastaarabu?
Tumushoot rais wa Canada!!!umafya tuuZitumike njia za kimafia tu!
Hivi haiwezekani tukafika sehemu tukaamua kuuishi ukweli?Kwanini hatupendi kutenda haki kwa watu wengi? Nchi za wenzetu Sheria zimetungwa kwaajili ya kuwalinda na kuwaongoza RAIA wao,sisi Sheria zetu zipo kwaajili ya kuwakomoa watu wetu.Tujenge utamaduni wa.kulipa madeni badala ya kuanza kutafuta wasaliti ambao kimsingi wasaliti wa Taifa letu ni wale waliopo madarakaniWatanzania tupo milioni zaidi ya 50 tunalipa kodi ili kuleta maendeleo nchini
Tunanunua ndege SGR umeme rufiji nk
Leo unachonganisha eti ndege yetu ikamatwe kama kuna mtanzania anafanya hivyo ni laana tu Lilah
Pole kwa Rais wa JMT kwa ndege yake kukamatwa.Pasco Uneshindwa kusema chochote japo kumuunga Mkono Rais lkwa Ndege kukamatwa Hata pole jamani!
Pole kwa Rais wa JMT kwa ndege yake kukamatwa.Pasco Uneshindwa kusema chochote japo kumuunga Mkono Rais lkwa Ndege kukamatwa Hata pole jamani!
Watanzania tupo milioni zaidi ya 50 tunalipa kodi ili kuleta maendeleo nchini
Tunanunua ndege SGR umeme rufiji nk
Leo unachonganisha eti ndege yetu ikamatwe kama kuna mtanzania anafanya hivyo ni laana tu Lilah
Kamanda ugoro umekuzeesha hadi unashindwa kuandika
Canada walizuia ya kwanza wakaachia hata hii wataachia tu VP uchaguzi huko arusha
State agent
Ununuzi wa Ndege una ufisadi mkubwa sana CAG katolewa kafara na ndiyo maana Ndege ikikamatwa wanahaha kutafuta Huruma toka kwa watanzania wachache hasa wa vijijini ambao bado wanaamini utawala huu wa awamu ya tano unaongozwa na malaika toka mbinguni kwa mungu wasiojua kutenda dhambi.Eti Mali zetu! Kwani wewe pia ni mpwa??? Watanzania wanajua hizi ndege zio zao ndiyo maana hata CAG walizuia asikague! Assard ametoka watanunua zitafika mpaka 100!!
Lipeni madeni kwanza acheni ngonjera wajinga sana nyinyi CCMWasaliti wa Nchi wajiandae kisaikolojia
Pole kwa Rais wa JMT kwa ndege yake kukamatwa.Pasco Uneshindwa kusema chochote japo kumuunga Mkono Rais lkwa Ndege kukamatwa Hata pole jamani!
Huu ujinga wa CCM na watetezi wake ndiyo umelifikisha Taifa hapa lilipo sasa miaka 58 bila maendeleo, watetezi wa CCM mitandaoni ni mbumbumbu vilaza watupu, watetezi wa CCM badala wamshauri mtukufu malaika toka chato alipe Deni amalize Tatizo wapo busy kubuni mambo mengine ya kijinga jinga kuharibu uhusiano na Canada, CCM lipeni Deni acheni ubabe wa kishambaProf. Kabudi inabidi tuangalie upya uhusiano wetu na Canada, a) Watanzania wangapi wanakwenda Canada kila mwaka? b) Canadians wangapi wanakuja Tanzania kila mwaka? c) What are the trade volumes between our countries and d) Uwezekano wa kusitisha diplomatic relations.
As a Country tunatakiwa sasa Kusuka au Kunyoa. Makosa makubwa yalitokea pale walipoilipa ile kampuni ya Sterling kama sikosei kule Canada kwa sababu ile kesi iliweka precedent.