Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

kinachonishangaza sana mh.waziri, mwanasheria nguli kuilaumu serikali ya canada wakati anajua wazi hayo ni mambo ya kimahakama. wenzetu wanaheshimiana ktk mihimili. hata afrika ya kusini serikali ya kule haikuiingilia walimalizana mahakamani!!!.kwa nini tusingizie mabeberu na kesi ni ya miaka mingi!?! na jamaa huyuhuyu mkulima alishinda kesi hii hapahapa kwetu TZ. huko kwingine anakazia tu hukumu yake. jamani tumewapa madaraka hayo mtusaidie kuipeleka nchi mbele sio kutupotosha na siasa zenu za miaka ya cold war. muiteni mkulima mkae naye chini muyamalize. vinginevyo jamaa atatuendesha sana, wenzetu huko nje hawana janjajanja nyingi kwenye sheria. Rais anashtakiwa na kushindwa mahakamani, ije iwe kesi zetu hizi!!!. uvunje uhusiano na canada!!! jiulize kwanza nani atapata hasara?!?. jifunze CHINA VS MAREKANI, IRAN VS MAREKANI. Ng'wamishaga mhola bang'wise
Ukitaka kujua watetezi wa CCM ni wajinga mkuu soma utetezi wao kwa CCM yao, watetezi wa CCM hawataki mkulima wa kizungu alipwe wanataka azurumiwe haki zake kisha wamkomoe Balozi wa Tanzania Nchini canada na kuharibu uhusiano wa Tanzania na canada, watetezi wa CCM wanapenda ubabe wa kishamba shamba usio na Tija kwa Taifa, Dawa ya Deni ni kulipa Mbona mwinyi mkapa Kikwete walikuwa wakimlipa? iweje hawa wababe wajidai kuendekeza dhuluma?
 
Watanzania tupo milioni zaidi ya 50 tunalipa kodi ili kuleta maendeleo nchini
Tunanunua ndege SGR umeme rufiji nk
Leo unachonganisha eti ndege yetu ikamatwe kama kuna mtanzania anafanya hivyo ni laana tu Lilah
Hivi haiwezekani tukafika sehemu tukaamua kuuishi ukweli?Kwanini hatupendi kutenda haki kwa watu wengi? Nchi za wenzetu Sheria zimetungwa kwaajili ya kuwalinda na kuwaongoza RAIA wao,sisi Sheria zetu zipo kwaajili ya kuwakomoa watu wetu.Tujenge utamaduni wa.kulipa madeni badala ya kuanza kutafuta wasaliti ambao kimsingi wasaliti wa Taifa letu ni wale waliopo madarakani
 
Pasco Uneshindwa kusema chochote japo kumuunga Mkono Rais lkwa Ndege kukamatwa Hata pole jamani!
Pole kwa Rais wa JMT kwa ndege yake kukamatwa.
Pole kwa Waziri Kabudi kwa TZ kusalitowa.
Pole kwa Waziri Mahiga kwa mateso kutuma vijana Canada
Pole kwa serikali yetu yote kwasababu ndege ni ya serikali.
Pole kwa CCM, kwasababu serikali ni ya CCM.
Pole kwa wanasheria watakaoteseka.
Pole kwa ATC ndege yao kukamatwa hivyo kuchelewesha kupiga pesa.
Pole kwa sisi Watanzania wote kwa ndege yetu kukamatwa na kututia hasara ambayo ni sisi tutaifidia.
Ndege ni rais Magufuli kwasababu ndiye aliyeamua kuinunua kwa cash money.
Ndege ni ya serikali kwasababu inamilikiwa na serikali 100%.
Ndege ni ya ATCL kwasababu ATCL ndio wanaitumia.
Ndege ni ya Sisi Watanzania wote kwasababu fedha zilizonunulia ni fedha zetu, na sisi ndio tunaoipanda.

Pole wote
P
 
Ningekuwa na uwezo ningeuza ikulu ya magogoni hata buku 20 tu,inatosha sado ya mahindi na dagaa sado mbili!! Kwani vina faida gani kwa masikini wa kitanzania? Kwanza munatumia hizo ndege kututukana na kutudhalilisha tu, mi ningepata mchongo ningeziuza hata kwa mkopo wa muda mrefu
Watanzania tupo milioni zaidi ya 50 tunalipa kodi ili kuleta maendeleo nchini
Tunanunua ndege SGR umeme rufiji nk
Leo unachonganisha eti ndege yetu ikamatwe kama kuna mtanzania anafanya hivyo ni laana tu Lilah
 
Kamanda ugoro umekuzeesha hadi unashindwa kuandika

Canada walizuia ya kwanza wakaachia hata hii wataachia tu VP uchaguzi huko arusha

State agent

Wewe boya tu, Serikali ya Canada haihusiki, na ndege iliachiwa baada ya deni kulipwa. Nguruwe mbona wagumu kuelewa?
 
Eti Mali zetu! Kwani wewe pia ni mpwa??? Watanzania wanajua hizi ndege zio zao ndiyo maana hata CAG walizuia asikague! Assard ametoka watanunua zitafika mpaka 100!!
Ununuzi wa Ndege una ufisadi mkubwa sana CAG katolewa kafara na ndiyo maana Ndege ikikamatwa wanahaha kutafuta Huruma toka kwa watanzania wachache hasa wa vijijini ambao bado wanaamini utawala huu wa awamu ya tano unaongozwa na malaika toka mbinguni kwa mungu wasiojua kutenda dhambi.
 
Pale juu kuna pool la wahuni, kwanini ndege za Tanzania? Mnashindwa kutumia phd zenu to bring this shame to an end? Au kuna deal mnapiga? Mmezoea kufanya mambo ya kihuni kwenye mahakama zenu, wenzetu wanajitambua hakuna huo ujinga.
Kama mnavyowafanyia uhuni mnaowaita wahujumu ambao mahakama zetu zimeshindwa kumaliza kesi zao na kuwalazimisha wawape hela mmalize kesi, vivyo hivyo mlipe mzungu mmalize kesi. Foolish
 
Povu halisaidii uungwana nikulipa deni ikiwa kweli anadai. Kama unadaiwa utaonekana mwenye heshima kwa kulipa ili uwe huru.
 
Pasco Uneshindwa kusema chochote japo kumuunga Mkono Rais lkwa Ndege kukamatwa Hata pole jamani!
Pole kwa Rais wa JMT kwa ndege yake kukamatwa.
Pole kwa Waziri Kabudi kwa TZ kusalitowa.
Pole kwa Waziri Mahiga kwa mateso kutuma vijana Canada
Pole kwa serikali yetu yote kwasababu ndege ni ya serikali.
Pole kwa CCM, kwasababu serikali ni ya CCM.
Pole kwa wanasheria watakaoteseka.
Pole kwa ATC ndege yao kukamatwa hivyo kuchelewesha kupiga pesa.
Pole kwa sisi Watanzania wote kwa ndege yetu kukamatwa na kututia hasara ambayo ni sisi tutaifidia.
Ndege ni rais Magufuli kwasababu ndiye aliyeamua kuinunua kwa cash money.
Ndege ni ya serikali kwasababu inamilikiwa na serikali 100%.
Ndege ni ya ATCL kwasababu ATCL ndio wanaitumia.
Ndege ni ya Sisi Watanzania wote kwasababu fedha zilizonunulia ni fedha zetu, na sisi ndio tunaoipanda.

Pole hata hawa Watanzania wenzetu wanaofurahia na kushangilia ndege yetu kukamatwa nao pia wataifidia hii hasara maana ndege pia ni yao bila kujijua.
Pole wote.
P
 
Prof. Kabudi inabidi tuangalie upya uhusiano wetu na Canada, a) Watanzania wangapi wanakwenda Canada kila mwaka? b) Canadians wangapi wanakuja Tanzania kila mwaka? c) What are the trade volumes between our countries and d) Uwezekano wa kusitisha diplomatic relations.

As a Country tunatakiwa sasa Kusuka au Kunyoa. Makosa makubwa yalitokea pale walipoilipa ile kampuni ya Sterling kama sikosei kule Canada kwa sababu ile kesi iliweka precedent.
Huu ujinga wa CCM na watetezi wake ndiyo umelifikisha Taifa hapa lilipo sasa miaka 58 bila maendeleo, watetezi wa CCM mitandaoni ni mbumbumbu vilaza watupu, watetezi wa CCM badala wamshauri mtukufu malaika toka chato alipe Deni amalize Tatizo wapo busy kubuni mambo mengine ya kijinga jinga kuharibu uhusiano na Canada, CCM lipeni Deni acheni ubabe wa kishamba
 
Alietoa amri yule mkulima asikanyage ardhi ya Tanzania, ndo msaliti namba moja..
IMG-20191123-WA0043.jpeg
 
Back
Top Bottom