Akili ikishahamia tumboni, mdomo lazima uteme mashudu.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast amesema;
"Chama kikubwa kama CCM hata nafasi ya kuwa mjumbe wa kuandika ilani, hilo ni jambo kubwa sana. Sasa mimi sikuwa tu mjumbe, Kitila Mkumbo nikawa mwenyekiti.
Kuwa na uwezo ni jambo moja lakini kupewa fursa ya kuonesha uwezo ni jambo jingine kabisa. Ndiyo maana, baada ya kumshukuru Mungu huwa namshukuru sana Mheshimiwa Samia. Kwa sababu, amenipa fursa ya kuonesha uwezo. Kwa sababu asingenipa fursa, ningeandika dira saa ngapi? Wala Watanzania wasingejua kama naweza nikaandika ilani. Kwa hiyo nimepata heshima kubwa sana."
Kufuru

Kutotegemea misaada lazima kuendane na maisha bora, mnajisifu kwamba hatutegemei msaada wakati mnashidwa hata kuweka vifusi kwenye barabara za mitaani Dar es salaam na miji mingine. TARURA wanaishia kukwangua vumbi au matope, ukiwaliza hicho mlichofanya ndio nini utasikia hii ndio hela tuliyopewa na serikali, hatuna hela ya kufanya zaidi ya hapa.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast amesema;
"Chama kikubwa kama CCM hata nafasi ya kuwa mjumbe wa kuandika ilani, hilo ni jambo kubwa sana. Sasa mimi sikuwa tu mjumbe, Kitila Mkumbo nikawa mwenyekiti.
Kuwa na uwezo ni jambo moja lakini kupewa fursa ya kuonesha uwezo ni jambo jingine kabisa. Ndiyo maana, baada ya kumshukuru Mungu huwa namshukuru sana Mheshimiwa Samia. Kwa sababu, amenipa fursa ya kuonesha uwezo. Kwa sababu asingenipa fursa, ningeandika dira saa ngapi? Wala Watanzania wasingejua kama naweza nikaandika ilani. Kwa hiyo nimepata heshima kubwa sana."
Mungu tusaidie kizazi cha wanasiasa malaya Malaya hawa