Abracadabra ni nyingi Ila tusishabikie wakora kuchukua advantage ya kuikamua Nchi ! After all ni kodi zetu na za watoto wetu ndizo zitakazowalipa hao jamaa. !Hizo kesi mbona zimeanza tokea JPM yupo hai. Na Kabudi amewahi kataa ziongelea bungeni eti kuwa akitoa kauli yoyote atahatarisha hoja za serikali kwenye kesi zile.
Hapana sisi wengine tunajaribu kutahadharisha tu kwamba tusishabikie Nchi kunyonywa na Mumiani kwa kisingizio cha jamaa yule alifanya makosa !! Yapo makosa aliyafanya lakini na Wakora huwa wanachukuaga advantage ya kuingiza madudu yao !! Ndicho kitu ninachojaribu kutahadharisha Mkuu !Kwahiyo Kitila naye huko bungeni anachoongea ni kuonyesha chuki yake dhidi ya Magufuli? Mbona mna uwezo mdogo wa kutetea hoja kwa kuchomekea neno mna chuki na Magufuli?!
Kabisa. !Kweli ishi kwa tahadhari na binadamu
Kwenye madini tukubali au tukatae Ni kwamba “Tunapigwa sana tu “ !!Mkuu wewe ni msomi, extractive industry kama ilivyo commodity market yoyote Ina incur volatility kwenye soko la kimataifa. Hata mauzo ya 2019 ni sababu ya soko kuwa na bei nzuri maana sisi shida yetu haikuwa uzalishaji Bali mgawanyo wa Mapato. Correlation is not causation....
View attachment 2609270
Unafiki huu utaisha siku katiba mpya iliyo bora itakapopatikana au atakapo patikana strongman atakayelazimisha watu waache unafiki !!si walisema tundu lissu ni mwongo tena walikuwa hawa hawa wanaccm huu unafiki sijui utaendelea mpaka lini!
Tatizo la Watanzania huwa wanarukia sentesi moja na kuipa uzito mkubwa badala ya kusoma taarifa nzima inalenga kuzungumzia kitu gani.Hapana sisi wengine tunajaribu kutahadharisha tu kwamba tusishabikie Nchi kunyonywa na Mumiani kwa kisingizio cha jamaa yule alifanya makosa !! Yapo makosa aliyafanya lakini na Wakora huwa wanachukuaga advantage ya kuingiza madudu yao !! Ndicho kitu ninachojaribu kutahadharisha Mkuu !
Mimi namfahamu vizuri nimefanya nae kazi nilikuwa simwogopi nilimwambia ukweli akanifukuza nchi kwa kutumia mawaziri wake hakudhubutu kuniambia mwenyewe kwa hiyo alikuwa ananiogopa kwa uwezo wangu na sio upumbavuWewe ungeweza kumshauri Magufuli? Ulikuwa unamjua vizuri au unamuona kwenye tv? Kamuulize Mpango atakupa wasifu wake 😄😄
Ndege tatu zimeshikiliwa na yote ni makosa ya awamu ya Magufuli tusidanganyane yeye alifikiri akivunja mikataba atafanikiwa kwa ujinga wake kwa hiyo alietia wananchi hasara ni Magufuli na mawaziri wakeSio kweli, kesi iihusiana na shamba la Msouth lilotaifishwa na Serikali.. Mambo mengine jamani acheni chuki zenu muwe wakweli.
Sasa ulikuwa wapi usimwambie Hadi unasubiria mambo inaharibika?Mimi namfahamu vizuri nimefanya nae kazi nilikuwa simwogopi nilimwambia ukweli akanifukuza nchi kwa kutumia mawaziri wake hakudhubutu kuniambia mwenyewe kwa hiyo alikuwa ananiogopa kwa uwezo wangu na sio upumbavu
Hata Mpango namfahamu tulikuwa nae World bank muulizeMimi namfahamu vizuri nimefanya nae kazi nilikuwa simwogopi nilimwambia ukweli akanifukuza nchi kwa kutumia mawaziri wake hakudhubutu kuniambia mwenyewe kwa hiyo alikuwa ananiogopa kwa uwezo wangu na sio upumbavu
Walilazimishwa waseme hivyo. Niliwahi kuongea nao wote wawili kwa nyakati tofauti Magufuli akiwa hai, nilitaka kujua kama kweli walichokiandika ndicho wanachokiamini. Wote walinijibu kuashiria walilazimishwa. Wakasema, "hivi unamwelewa huyu bwana? Watu wake waliotumwa kwetu walituambia kuwa Rais hataki kusikia neno kuwa hatujaibiwa. Ikabidi report iwe doctored kukidhi matakwa ya Rais.Mruma na Osoro ndo walisema Tumeibiwa na ACACIA zaidi ya sh Trilion 400
Hivi nchi gani inaendeshwa na mtu mmoja na ndugu zake na marafiki wake na mahawara wake hiyo ni nchi au ni kichaka cha ujambazi??Alafu mnasema kuna mbunge na mahakama huru??Sasa ulikuwa wapi usimwambie Hadi unasubiria mambo inaharibika?
Na ukojitoa, hakuna mwekezaji atakayekuja Tanzania kwa sababu mahakama zetu hizi za uzalendo wa Rais, haziaminiki...huko ICSID hatuwakilishwi na mawakili toka hapa Tz.
..kuna taratibu zake za kumpata msuluhishi ambaye anaaminika na kukubalika na pande zote kusikiliza shauri.
..ofisi ya mwanasheria mkuu kazi yake ni kutoa ushirikiano na supporting evidence / documents kutetea upande wa Tanzania.
..tatizo huwa linaanza hapa nyumbani kwa viongozi wetu kujifanya wababe na kukiuka mikataba waliyosaini.
..Matokeo ya ubabe wa viongozi wetu ni kushindwa ktk mashauri mengi yanayopelekwa ICSID.
..Kama tunataka tusipigwe basi tuhakikishe tunatengeneza mikataba inayotulinda, na baada ya hapo tuiheshimu.
..Jambo lingine, ambalo ni gumu, na serikali inaogopa kulifanya, ni kujitoa ktk mikataba inayoelekeza kwamba migogoro na wawekezaji itakwenda ICSID, au uwekezaji hapa nchini italindwa kupitia MIGA. Hali hiyo itaondoa uwezekano wa Tanzania kushtakiwa huko nje.
Aisee!. DuhWalilazimishwa waseme hivyo. Niliwahi kuongea nao wote wawili kwa nyakati tofauti Magufuli akiwa hai, nilitaka kujua kama kweli walichokiandika ndicho wanachokiamini. Wote walinijibu kuashiria walilazimishwa. Wakasema, "hivi unamwelewa huyu bwana? Watu wake waliotumwa kwetu walituambia kuwa Rais hataki kusikia neno kuwa hatujaibiwa. Ikabidi report iwe doctored kukidhi matakwa ya Rais.
Naanza kuhisi hii account ipo hacked!! there's so much misinformation recently!! Kitila was very clear kwamba walishauri leseni zifutwe kwa kuwapa matumaini viongozi wa nchi kuwa "hakuna repurcussions zozote huko mbele".Nina hakika Prof. Kitila kaeleweka vibaya kwa sababu, hoja yake hakuzungumzia kesi hizi zimetokana na makosa ya kuwanyang'anya liseni Wawekezaji bali hoja yake ni Ushauri uliotolewa wakati wa kusaini mikataba ya madini miaka ya nyuma na sasa.
Mpango upi wakati wanadai cost za damages!! kilichobakia ni utekelezaji wa uhukumu sio kupewa leseni. Yaani miaka 5 Sasa hajachimba kitu Leo alainike kisa amerejeshwa nchini? Zile cost za miaka 5 atazifidia nani?Hizi kesi 3 kati ya 7 mnazopigia kelele ni mpango mpya wa Wawekezaji hao warudi nchini. I bet, watarudishwa kama ilivyo Symbion na Wawekezaji wengine kina IPTL walofungua kesi zao za madai ndani na nje ya nchi ili wapate kurudi katika Biashara zao.
It doesn't matter, makubaliano ni makubaliano. Kama mlijua mkataba wa kihuni kwanini mslisign? Yaani mnakubaliana alafu baadae unakuja kukiuka makubaliano. Lazima ulipe fidia!!Amesoma kesi zilizopo huko kwenye mahakama za usulihishi na kuishia hapo tu. Angeelezea na sababu za hizo leseni kufutwa pia
Kuna procedure, ni sawa na mtu hajachukua Hela benki miaka 5 waka assume amekufa kumbe yupo nje ya nchi. Siku anarudi anataka Hela zake unadhani hatoshitaki?Huko Nachingea mtu kapewa leseni kafanya utafiti kidogo tu, sijui hana hela eneo kalitekeleza miaka kisa ana mining licence; alitaka serikali imuachie tu eneo
Zimefutwa sababu ya regulations kubadilika na ndio kesi ya msingi Iko hapo. Kwanini ulete sheria mpya alafu unataka compliance kwa leseni ambazo umeshatoa na muda wa kuhuisha bado. Mlikubaliana say standards Fulani alafu baada ya miaka 3 uje na regulations mpya zenye standards mpya then una revoke licence kisa mtu Hana vigezo vipya!! Mahakamani utaanguka tu.Hizo leseni zote zilifutwa kwa sababu ya kutoendeleza hayo maeneo, serikali ikaunda kitengo cha kupambana na hizo kesi