macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Let it be work within or not, lakini makosa bado yako kwa Magufuli. Alidhani yeye tu ndiye mwenye uwezo na akili wa kuendesha nchi. Angekubali abadishe mfumo mzima wa uongozi haya yasingetokea. Ila kama ulivyosema, kuna uwezekano huo.Kwanini hawakushtaki wakati ule? Work from within!
Hayo makampuni yalingoja mpaka mwamba aondoke ndio wafungue mashtaka ya kuvunja mikataba ya madini ??!! Wakati akiwa Hai aliyevunja mikataba walikuwa wanamuogopa kumshitaki ??!! Ukistaajabu ya Musa ……….. !! Michongo inakuja !!
Kwanini hakumshauri Magufuli hivi anakuja kuleta umbeya sasa??..Prof.Kitila anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara.
..Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.
Kwanini hawakushtaki wakati ule? Work from within!
Lying that has no society value is now a crime this man is lying to benefit himselfLying is just taking advantage of present time(s), situation and circumstances to hide the truth, yet it is risk in the future when those circumstances, time and situation have changed or no longer exist.
..bombadier iliyokuwa imeshikiliwa Canada 2016/17 ilitokana na kesi ya Magufuli kuvunja mkataba wakati akiwa waziri wa ujenzi
Sio kweli, kesi iihusiana na shamba la Msouth lilotaifishwa na Serikali.. Mambo mengine jamani acheni chuki zenu muwe wakweli...bombadier iliyokuwa imeshikiliwa Canada 2016/17 ilitokana na kesi ya Magufuli kuvunja mkataba wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Mi nilidhani kijani wote.Kuna Juha mmoja humu anajiita Eltwege aje asikie kijani mwenzie anavyokubaliana na Lissu, maana huwa anabwabwaja humu kuwa hawajashtakiwa, kwa uzuzu wake eti anataka asikie neno MIGA hata zuzu huyu hajui maana ya MIGA.
Kwa sasa watajitokeza wengi kuongea lugha anayoipenda mama ili wapate nafasi ikiwemo kutetea majimbo yao.Ni muhimu kwanza kutambua kesi hizo 7 ni za madai gani? Kama mtakumbuka ndege yetu ilizuiwa Canada na South kwa madai ya mwaka 1974. Je, hilo lilikuwa kosa la nani?
..kuna makampuni yalishitaki wakati Magu yuko hai.
..umesahau suala hilo liliibukia Bungeni Prof.Kabudi akatoa majibu ya kejeli na kizandiki kwa wabunge wa upinzani
Ilikuwa lazima Magufuli kwa nchi za Magharibi kumkwamisha kwa njia zozote aidha kwa vikwazo ama sababu nyingine yeyote haswa baada ya kuwakwamisha Barricks na wawekezaji wengine katika Madini. Magufuli alikuwa MWIBA kwao na bahati nzuri kwao JPM alikuwa na maadui ndani ya nchi...walifungua kesi wakati yupo hai.
..umesahau ndege zilikamatwa mara ngapi wakati Magu akiwa madarakani?
..umesahau kwamba acacia walifungua kesi wakati Magu akijadiliana na barrick?
Cc Kalamu pita hapa, hoja hii hii nilisema juu ya Mpina.Heshima kwako JokaKuu . Huyu jamaa ni wale wale tu. Haya alitakiwa ayaseme wakati yanafanyika na siyo kusubiri baada ya kuona Magufuli and co hawapo kwenye ulaji ndiyo aseme. Nina uhakika hata Magufuli angekuwepo mpaka sasa asingesema haya. Jamaa nimeshamdharau sana huyu na hana tofauti na hao anaowasema.
2025 ipo karibu, msiwashangae wanajipanga kwa njia zao maana majimbo machache sana..Cc Kalamu pita hapa, hoja hii hii nilisema juu ya Mpina.
Conspiracy theorist!! Kila lawama kwa mabeberu wakati sisi wenyewe majizi humu humu. Hivi wizi aliyosema CAG Kuna mzungu kahusika? Why Kila failure yetu lawama kwa mzungu as if sisi wenyewe ni competent au waaminifu? Kwanini unaamini JPM auwawe na mabeberu Ilihali mafisadi yamejaa humu humu nchini?Ilikuwa lazima Magufuli kwa nchi za Magharibi kumkwamisha kwa njia zozote aidha kwa vikwazo ama sababu nyingine yeyote haswa baada ya kuwakwamisha Barricks na wawekezaji wengine katika Madini. Magufuli alikuwa MWIBA kwao na bahati nzuri kwao JPM alikuwa na maadui ndani ya nchi.
Hawakuwa na njia bora zaidi ya kumkwamisha isipokuwa hiyo ama kumuondoa kabisa madarakani kwa sababu walijua kuna uwezekano mkubwa akatawala miaka mitano mingine.
Kama walivyoondolewa kina Lumumba, Nkurumah, Sankara, Ghadaff, Magufuli pia ilikuwa LAZIMA..
Kitila anasema kesi 3 kati ya 7 ni issue za madini ikiwemo kufutiwa leseni kwa kampuni kadhaa za uchimbaji baada ya ammendements za sheria mwaka 2017 na regulations mpya za 2018.Ni muhimu kwanza kutambua kesi hizo 7 ni za madai gani? Kama mtakumbuka ndege yetu ilizuiwa Canada na South kwa madai ya mwaka 1974. Je, hilo lilikuwa kosa la nani?
Lisu aluposimama katika ukweli walimdhihaki.Unafiki tu,unafiki tu wahuniiiii hawa
Conspiracy theory ni ile unaambia rais amekufa kwa ugonjwa wa moyo au Covid. Mkuu tuna Uhuru wa habari na haki ya kuijeleza, kwa nini mnashindwa kuchanganya na za kwenu?Conspiracy theorist!! Kila lawama kwa mabeberu wakati sisi wenyewe majizi humu humu. Hivi wizi aliyosema CAG Kuna mzungu kahusika? Why Kila failure yetu lawama kwa mzungu as if sisi wenyewe ni competent au waaminifu? Kwanini unaamini JPM auwawe na mabeberu Ilihali mafisadi yamejaa humu humu nchini?
Tuache hii inferiority complex and face the reality kuwa mchawi wa mtu mweusi ni mweusi mwenyewe
Prof Mruma mnamwonea.Kabudi na mruma hao
Etweke, Jilala, wewe unaamini ni watu wenye utimamu kichwani? Nadhani ni wa hivyo hivyo. Tuwakubali kwa sababu tu ya ubinadamu wao lakini hutarajii kusikia chochote cha maana toka kwao.Kuna Juha mmoja humu anajiita Eltwege aje asikie kijani mwenzie anavyokubaliana na Lissu, maana huwa anabwabwaja humu kuwa hawajashtakiwa, kwa uzuzu wake eti anataka asikie neno MIGA hata zuzu huyu hajui maana ya MIGA.