To apologizeToo late.
Utamweka Samia Suluhu Hassan kwenye orodha ya hao wazee unaowataja hapa?Hao wazee wetu wakina Nyerere wangekuwa na akili kama za vijana wetu basi wasingetajwa jinsi wanavyotajwa, pamoja walikuwa vijana lakini walikuwa na busara, hekima na maarifa.
Huyu mama naomba apewe ulinzi wakuuVijana hata wanazitaka hizo ajira basii?😀
Hivi hawa thinking capability yao imepungua kiasi hiko.
Hauwezi kutibu malaria kwa kunywa dawa za minyoo.
Hebu wamsikilize huyu mama hapa chini:
View attachment 3508829
Huyu Sasa ndiye anastajili kuitwa MamaVijana hata wanazitaka hizo ajira basii?😀
Hivi hawa thinking capability yao imepungua kiasi hiko.
Hauwezi kutibu malaria kwa kunywa dawa za minyoo.
Hebu wamsikilize huyu mama hapa chini:
View attachment 3508829
Samia Suluhu Hassan "anaua" kwa maslahi ya nani; hizo 'corporate' unazoziimba humu? 'Corporate' za wizi wa mali za waTanzania?Wafikirie ndugu zetu waliyotangulia mbele ya haki, huenda wewe ukaja tena kwenye JF na kuandika unachotaka kuandika lakini kuna wenzenu ambao ndiyo watakaotolewa kafara.
Kila mtu atakufa lakini tafadhali usiwe sababu ya mwingine afe kwa maslahi yako.
Tutaaanza upya kiutawala baada ya serekali hii kuondoka. Unasema uasi, kwani serekali hii imechaguliwa na wananchi? Ama una ushahidi juzi rais alipata kura 31m? Na chama cha mapinduzi kilikuwa na ushindi wa halali wa wingi huu wa wabunge? Inaonekana ww ni mfaidika wa mfumo huu wa wizi wa kura, hivyo unahofia ccm ikitoka madarakani utapoteza unachofaidi sasa.Ndugu yangu, fursa gani tunayoweza kusema zipo baada ya maandamano? Au ni biashara za kuuza majeneza?
Kwanini watu hupenda kuzungumza mambo ambayo wao wenyewe hawana hata nia ya kuyatekeleza?
Hebu tujiulize kwa uaminifu: kweli mtu mzima unaweza kumpeleka mwanao, ndugu yako au rafiki yako kwenye maandamano ambayo mizizi yake ni uasi, na ambako kuna uwezekano halisi wa kufyatuliwa risasi na kupoteza uhai?
Je, tumefika hatua ya kuwa kwenye ajenda ya kupunguzana tu kwa sababu ‘tumezidi’?
Kwa nchi kama yetu, haya mambo yanaweza kufikiwa kwa mazungumzo, busara na njia za kistaarabu. Tusidanganyike na yaliyotokea Bangladesh, Nepal au Guinea-Bissau tukadhani kuwa mwelekeo huo unaweza kutokea nyumbani. Hapana—tujue mazingira yetu na historia yetu, na tulinde amani ambayo tunaitegemea sote.
Baada ya mapinduzi nini kitatokea? Ni ujaji wa sampuli mpya tu ya wanufaika wachache wakati wengi watakuwa kama tulivyokuwa.
Hapa kabla hajalamba asali