PostGE2025 Prof. Kitila: Serikali yatangaza mikakati 8 ya kupanua ajira kwa vijana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
kwamba watu wote wanataka kuwa wakulima?
 
Hiyo ni danganya toto!
Serikali iwasikilize kwanza kujua wanataka nini kabla ya kuweka mipango hiyo!
Ni bora serikali ingewakopesha mitaji waendeshe maisha yao then ndiyo wahubiriwe uwekezaji.
 
Hao wazee wetu wakina Nyerere wangekuwa na akili kama za vijana wetu basi wasingetajwa jinsi wanavyotajwa, pamoja walikuwa vijana lakini walikuwa na busara, hekima na maarifa.
Utamweka Samia Suluhu Hassan kwenye orodha ya hao wazee unaowataja hapa?

Mtu unayewalinganisha waTanzania na "nazi", huku ukifikiri Samia ni jiwe? Wewe kweli unaweza kujidhani kuwa unayo elimu ya kutosha kuelewa chochote?
 
Wafikirie ndugu zetu waliyotangulia mbele ya haki, huenda wewe ukaja tena kwenye JF na kuandika unachotaka kuandika lakini kuna wenzenu ambao ndiyo watakaotolewa kafara.
Kila mtu atakufa lakini tafadhali usiwe sababu ya mwingine afe kwa maslahi yako.
Samia Suluhu Hassan "anaua" kwa maslahi ya nani; hizo 'corporate' unazoziimba humu? 'Corporate' za wizi wa mali za waTanzania?

Hayo "mawe yanayovunja nazi" usisahau pia kuna baruti zitakazo yasambaratisha.
 
Kwenye mipango ya mezani bongo hii, mbona ni wataalam sana. Mbongo ukimwamboa aandike mpango mbona utapenda, atakeleze sasa! 😊
 
Tutaaanza upya kiutawala baada ya serekali hii kuondoka. Unasema uasi, kwani serekali hii imechaguliwa na wananchi? Ama una ushahidi juzi rais alipata kura 31m? Na chama cha mapinduzi kilikuwa na ushindi wa halali wa wingi huu wa wabunge? Inaonekana ww ni mfaidika wa mfumo huu wa wizi wa kura, hivyo unahofia ccm ikitoka madarakani utapoteza unachofaidi sasa.

Ni hivi, hakuna njia yoyote ya kistaarabu ambayo haijawahi kutumika kutaka mabadiliko ya kweli, ila kwakuwa mlijua sisi ni makondoo, mtapora uchaguzi na tutakaa kimya. Kama ni kufa watu wanakufa hata kwa kutekwa, na kelele zimepigwa lakini hakuna aliyejali ikiwemo wewe. Hizi busara unazotaka sasa ni za nini? Tuko tayari kufa ili nyinyi wenye busara ya kufumbia macho uovu muishi vizuri. Hatuko tayari tena kutawaliwa bila ridhaa yetu. Tutakaa mezani chini ya serekali ya mpito, na sio chini ya hawa waliojiweka madarakani kwa mtutu wa bunduki, hakuna waoga wala wajinga wa kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…