ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Si kweli,wakileta Kwa kujipendekeza tunazila ila wakikacha hatuwabembelezi.Mwendo wa sizitaki mbichi hizi
Baada ya Kunyimwa umekosa hata Panadol au condom hospital?Mjinga mjinga tu wa usalama wa taifa. Pesa tumenyimwa sio hatutaki
Baada ya Kunyimwa umekosa hata Panadol au condom hospital?
Baada ya kunyimwa nini kimekwama? Mbona maisha yanaendelea vuzuri tu?? Jifunzeni kujitegemea, Lipa kodi kwa maendeleo ya nchiMjinga mjinga tu wa usalama wa taifa. Pesa tumenyimwa sio hatutaki
Jibu hoja,umekosa condom na Panadol Hospitali?Condom tukuulize wewe unaye wainamia hai wakina Abdul
Jibu hoja,umekosa condom na Panadol Hospitali?
Dira ni condom na panadol zote tuna agiza mpaka Leo. Yaani unaishi kwa kusubiri kufanyiwa na kupewa mpaka condom. Pole sana chawa uwezo wako wa kufikiri uko chini sana ya level yangu
๐๐UNAJUA MPUMBAVU HAWEZI KUBALI KUWA YEYE NI MATAPISHI.
HASWA MPUMBAVU WA MAKASUDI ANAEJUA HII NI MOJA + MOJA NI 2 ILA YEYE ANASEMA 11
NAKUKUMBUSHA TENA KUWA WEWE NI MPUMBAVU NA MOJA ONGEZA MOJA NI 2 NA SI0 11.
Nyuma gani?Huku kwa nyuma mnawabembeleza wawape na wawaondolee vikwazo.
Pale Kibaraka mpumbavu akijiona sio mpumbavuUNAJUA MPUMBAVU HAWEZI KUBALI KUWA YEYE NI MATAPISHI.
HASWA MPUMBAVU WA MAKASUDI ANAEJUA HII NI MOJA + MOJA NI 2 ILA YEYE ANASEMA 11
NAKUKUMBUSHA TENA KUWA WEWE NI MPUMBAVU NA MOJA ONGEZA MOJA NI 2 NA SI0 11.
Wanajua na wenye akili ni wale qanaodhani wataendelea Kwa misaada ya bwana zao.๐๐
Nafurahia kuona JF bado ina watu timamu kama wewe.
Taifa limechukuliwa na wapumbavu na na mtoa mada ni sehemu yao kwa hio usitegemee ya msingi kutoka katika akili mavi yake.
Kumbe ni wewe ? Gudubai