Hawa ndio wale marofedha wa jalalani.
Kujibu hoja za uzushi wa wakandarasi Huwa nawaambia hivi
1.Umewahi kuona wakandarasi wameacha kuomba kazi? Na kama hawaachi unawezaje kuwa site kama haulipwi?
2.Kama hawalipwi site wanafanya nini? Huu sio mradi?
Acheni ujinga na uzushi wa vijiweni huko Kwa machadomo.
View: https://www.instagram.com/p/DbTR4TriNm9/?igsh=MWh4bGxpczNxMnVnMw==
Wanatuona wajinga hatujui kusoma! Budgets zao zinaishia kwenye karatasi tu, utekelezaji ni wa kiwango hafifu sana.Huyu mtoa mada amechagua kuongea uongo kama Kitila mwenyewe
Suala la Uchumi linatakiwa lionekana Wazi
Sasa unasema bajeti yako ni trilioni 60 fedha za ndani lakini hadi unamaliza mwaka wa fedha husika, umefanikiwa kukusanya asilimia 58 pekee huku fedha yote inakwenda kulipa mishahara pamoja na kujaza mafuta ya atcl kwaajili ya wao kusafiri nje
Hapana hiyo comment yake ni nzuri sana na inastahili kwa machawa kama huyo jamaa!.Mkuu kupishana kimtazamo ni jambo la kawaida isiwe sababu ya kumtukana au kumkashifu mtu, unaonekana uko kwenye 5th au 6th floor, why comment like this?.
Wote ni mashahidi wa hali ya miundominu ilivyo, mambo yamegoma kabisaWanatuona wajinga hatujui kusoma! Budgets zao zinaishia kwenye karatasi tu, utekelezaji ni wa kiwango hafifu sana.
Siju mkipewa pesa za msaada tusijekuwaona mkijimwambafai... leo hii mmenyimwa mmeona hazina maana,siku mkipewa kelele kibao sijui mama anakubalika..Baada ya kunyimwa nini kimekwama? Mbona maisha yanaendelea vuzuri tu?? Jifunzeni kujitegemea, Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi
Uchawa ni mzigo, una bajet ya zaidi ya 60t, unakusanya chini ya 3t@month, hiyo 20+t unapata au kukopa toka wapi? Sikiliza bunge jinsi wabunge wanavyojiliza miradi kusimama tena mingine ya muda mrefu. Yaani ni aibu.Si kweli,wakileta Kwa kujipendekeza tunazila ila wakikacha hatuwabembelezi.
Wala usishangae huyo chawa kukwambia Tanzania ina viwanda 28000.Kumuamini mtu mnafiki kama Kitila Mkumbo ni sawa na kukuamini wewe chawa uliyeswma Tanzania ina viwanda 28000
Wala usishangae huyo chawa kukwambia Tanzania ina viwanda 28000.
Kwa ma CCM hata cherehani inahesabika ni kiwanda.
Halafu wanakwambia nchi inapiga hatua.Huyu chawa hata mtu akiwa ana kimashine cha kutengeneza juice za matunda mtaani anahesabu ni kiwanda.
My Take
Nakubaliana na Prof.Kitila Mkumbo na kwamba nimewahi andika hapa jukwaani kuwa Mzungu yeyote hata asupotoa hata jero haiwezi yumbisha Tanzania Kwa sababu Bajeti yetu ya Zaidi ya Trilioni 62 inapata Msaada wa Mabeberu Kwa chini ya Trilioni Moja Kwa mwaka. Pia soma Ongezeko la bajeti ya serikali mwaka 2026/27 kutoka trilioni 55 hadi trilioni 62 ni ujumbe tosha kwamba Tanzania haitayumbishwa na mabeberu | JamiiForums Tanzania Ongezeko la bajeti ya serikali mwaka 2026/27 kutoka trilioni 55 hadi trilioni 62 ni ujumbe tosha kwamba Tanzania haitayumbishwa na mabeberu
Na kwamba Uchumi wa Tanzania wa karibu $100 B unaokua Kwa zaidi ya 5.5% Kila mwaka hautegemei misaada Wala hisani ya beberu yeyote.
In fact wanatakiwa waondoe kabisa Kwa sababu sehemu kubwa ya watu wapumbavu Huwa wanawaza misaada kana kwamba ni Haki Yao.
Mfano kina Morocco walimuahidi Marehemu Mwendazake kujenga uwanja lakini Leo hii tunajenga wenyewe viwanja vipya takribani 4 Bara na Visiwani bila Msaada wa beberu Wala kibaraka wao yeyote na mambo mengine yote yanaenda.Pia
Nchi itayumba kidogo ikikosa Mkopo na sio Msaada na Hilo la kukusa Mkopo halipo Kwa sababu tunaweza pata kokote kuanzia Iran Hadi South Africa.
Heko Prof.Kitila Kwa kuwapasha wao na vibaraka wao.
View: https://www.instagram.com/reel/Dbk8RbUibPT/?igsh=MTJtaThjYndwN2JmOA==
Halafu wanakwambia nchi inapiga hatua.
Yani watu wamechoka akili mpaka wanatia huruma.
Yani Blenda na mashine za kufyatulia tofali kwao ni kiwanda.
Hawa watu ni wa kuwaonea huruma tu.
My Take
Nakubaliana na Prof.Kitila Mkumbo na kwamba nimewahi andika hapa jukwaani kuwa Mzungu yeyote hata asupotoa hata jero haiwezi yumbisha Tanzania Kwa sababu Bajeti yetu ya Zaidi ya Trilioni 62 inapata Msaada wa Mabeberu Kwa chini ya Trilioni Moja Kwa mwaka. Pia soma Ongezeko la bajeti ya serikali mwaka 2026/27 kutoka trilioni 55 hadi trilioni 62 ni ujumbe tosha kwamba Tanzania haitayumbishwa na mabeberu | JamiiForums Tanzania Ongezeko la bajeti ya serikali mwaka 2026/27 kutoka trilioni 55 hadi trilioni 62 ni ujumbe tosha kwamba Tanzania haitayumbishwa na mabeberu
Na kwamba Uchumi wa Tanzania wa karibu $100 B unaokua Kwa zaidi ya 5.5% Kila mwaka hautegemei misaada Wala hisani ya beberu yeyote.
In fact wanatakiwa waondoe kabisa Kwa sababu sehemu kubwa ya watu wapumbavu Huwa wanawaza misaada kana kwamba ni Haki Yao.
Mfano kina Morocco walimuahidi Marehemu Mwendazake kujenga uwanja lakini Leo hii tunajenga wenyewe viwanja vipya takribani 4 Bara na Visiwani bila Msaada wa beberu Wala kibaraka wao yeyote na mambo mengine yote yanaenda.Pia
Nchi itayumba kidogo ikikosa Mkopo na sio Msaada na Hilo la kukusa Mkopo halipo Kwa sababu tunaweza pata kokote kuanzia Iran Hadi South Africa.
Heko Prof.Kitila Kwa kuwapasha wao na vibaraka wao.
View: https://www.instagram.com/reel/Dbk8RbUibPT/?igsh=MTJtaThjYndwN2JmOA==
Wewe umeweza kumtambua😁 ulivyo sema ni usalama wa taifa upo sahihi sana ...Mjinga mjinga tu wa usalama wa taifa. Pesa tumenyimwa sio hatutaki