ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #21
Ndio bwana kengeKumbe ni wewe ? Gudubai
Ndio bwana kengeKumbe ni wewe ? Gudubai
Nyuma gani
Tzn haijawekewa vikwazo vya kiuchumi,visa restrictions zimewekewa Nchi zote za Afrika.Serikali ya Tanzania imeiomba Marekani kuondoa vikwazo vya viza kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo, pamoja na vikwazo vingine vya kiuchumi na kiusafiri vilivyowekwa dhidi ya Tanzania, ili kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na wananchi wa nchi hizo mbili.
Ombi hilo limewasilishwa wakati wa mazungumzo baina ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na ujumbe maalum wa wajumbe 11 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress) kutoka...![]()
- Waufukweni
- serikali ya tanzania tanzania na marekani vikwazo vya marekani visa ubalozi wa marekani
- Replies: 44
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Mkuu,Kama tunajitegemea kwa asilimia hizo 99.2 kwanini miradi mingi ya maendeleo umelala?
Nenda miradi ya Barbara, mashimo kama yote barabarani, barabara ya Uyole hadi Tunduma, tangu 2023 Ujenzi umesimama tu
Barabara ya Iringa - Dodoma, mashimo kama yote
Barabara ya Mtwara - DSM, mashimo kama bwawa la kufugia samaki
Nenda kwenye miradi ya Maji, Wakandarasi wanalipa ukata huku miradi mingi imeshindwa kuendelea na Ujenzi kwa kukosa fedha
Then Waziri mmoja, ambaye akitaka kusafiri anatumia ndege ya bure ya atcl anaongea takwimu za uongo
Mkuu kupishana kimtazamo ni jambo la kawaida isiwe sababu ya kumtukana au kumkashifu mtu, unaonekana uko kwenye 5th au 6th floor, why comment like this?.Condom tukuulize wewe unaye wainamia hai wakina Abdul
Kwani kabla ya misaada miradi mingi ilikuwa imeamka? Haikulala?Kama tunajitegemea kwa asilimia hizo 99.2 kwanini miradi mingi ya maendeleo umelala?
Nenda miradi ya Barbara, mashimo kama yote barabarani, barabara ya Uyole hadi Tunduma, tangu 2023 Ujenzi umesimama tu
Barabara ya Iringa - Dodoma, mashimo kama yote
Barabara ya Mtwara - DSM, mashimo kama bwawa la kufugia samaki
Nenda kwenye miradi ya Maji, Wakandarasi wanalipa ukata huku miradi mingi imeshindwa kuendelea na Ujenzi kwa kukosa fedha
Then Waziri mmoja, ambaye akitaka kusafiri anatumia ndege ya bure ya atcl anaongea takwimu za uongo
Kenya ipo ulaya?visa restrictions zimewekewa Nchi zote za Afrika.
My Take
Nakubaliana na Prof.Kitila Mkumbo na kwamba nimewahi andika hapa jukwaani kuwa Mzungu yeyote hata asupotoa hata jero haiwezi yumbisha Tanzania Kwa sababu Bajeti yetu ya Zaidi ya Trilioni 62 inapata Msaada wa Mabeberu Kwa chini ya Trilioni Moja Kwa mwaka.Pia soma Ongezeko la bajeti ya serikali mwaka 2026/27 kutoka trilioni 55 hadi trilioni 62 ni ujumbe tosha kwamba Tanzania haitayumbishwa na mabeberu | JamiiForums Tanzania Ongezeko la bajeti ya serikali mwaka 2026/27 kutoka trilioni 55 hadi trilioni 62 ni ujumbe tosha kwamba Tanzania haitayumbishwa na mabeberu
Na kwamba Uchumi wa Tanzania wa karibu $100 B unaokua Kwa zaidi ya 5.5% Kila mwaka hautegemei misaada Wala hisani ya beberu yeyote.
In fact wanatakiwa waondoe kabisa Kwa sababu sehemu kubwa ya watu wapumbavu Huwa wanawaza misaada kana kwamba ni Haki Yao.
Mfano kina Morocco walimuahidi Marehemu Mwendazake kujenga uwanja lakini Leo hii tunajenga wenyewe viwanja vipya takribani 4 Bara na Visiwani bila Msaada wa beberu Wala kibaraka wao yeyote na mambo mengine yote yanaenda.Pia
Nchi itayumba kidogo ikikosa Mkopo na sio Msaada na Hilo la kukusa Mkopo halipo Kwa sababu tunaweza pata kokote kuanzia Iran Hadi South Africa.
Heko Prof.Kitila Kwa kuwapasha wao na vibaraka wao.
View: https://www.instagram.com/reel/Dbk8RbUibPT/?igsh=MTJtaThjYndwN2JmOA==
Kujibu hoja za uzushi wa wakandarasi Huwa nawaambia hiviMkuu,
Hana jibu katika hili, miradi mingi ipo hoi, wakandarasi hawalipwi...hasa wazawa ambao mitaji yao sio mikubwa wanaumia sana, mabarabara mengi ni mahandaki, njia za dar nyingi zimefumuliwa ila ziko palepale hakuna progress.
Ni kweli hatupendi misaada, ila je tunaweza kujisimamia, mbona miradi mingi imelala?
Nimesema Nchi nyingi san.zimewwkewa visa restrictions na je Kuna ulazima gani wa kwenda huko? Kenya na South ndio nani? Hao wanaouana Kwa sababu ya njaa na unemployment?Kenya ipo ulaya?
Je imewekewa visa restrictions kama Tanzania?
Vipi kuhusu South Africa?
Hatuzalishi Mafuta lakini matanki yakikamilika.pale Dar port storage itakuwa kubwa so shocks absorbers zitawezekana.Shusheni bei ya mafuta..punguzeni kelele
My Take
Nakubaliana na Prof.Kitila Mkumbo na kwamba nimewahi andika hapa jukwaani kuwa Mzungu yeyote hata asupotoa hata jero haiwezi yumbisha Tanzania Kwa sababu Bajeti yetu ya Zaidi ya Trilioni 62 inapata Msaada wa Mabeberu Kwa chini ya Trilioni Moja Kwa mwaka.Pia soma Ongezeko la bajeti ya serikali mwaka 2026/27 kutoka trilioni 55 hadi trilioni 62 ni ujumbe tosha kwamba Tanzania haitayumbishwa na mabeberu | JamiiForums Tanzania Ongezeko la bajeti ya serikali mwaka 2026/27 kutoka trilioni 55 hadi trilioni 62 ni ujumbe tosha kwamba Tanzania haitayumbishwa na mabeberu
Na kwamba Uchumi wa Tanzania wa karibu $100 B unaokua Kwa zaidi ya 5.5% Kila mwaka hautegemei misaada Wala hisani ya beberu yeyote.
In fact wanatakiwa waondoe kabisa Kwa sababu sehemu kubwa ya watu wapumbavu Huwa wanawaza misaada kana kwamba ni Haki Yao.
Mfano kina Morocco walimuahidi Marehemu Mwendazake kujenga uwanja lakini Leo hii tunajenga wenyewe viwanja vipya takribani 4 Bara na Visiwani bila Msaada wa beberu Wala kibaraka wao yeyote na mambo mengine yote yanaenda.Pia
Nchi itayumba kidogo ikikosa Mkopo na sio Msaada na Hilo la kukusa Mkopo halipo Kwa sababu tunaweza pata kokote kuanzia Iran Hadi South Africa.
Heko Prof.Kitila Kwa kuwapasha wao na vibaraka wao.
View: https://www.instagram.com/reel/Dbk8RbUibPT/?igsh=MTJtaThjYndwN2JmOA==
Professional food ni kuendekeza misaada sio?What a professorial rubbish.
Kwahiyo unaona sawa kusema bajeti ni trilioni 60, fedha za ndani lakini hadi unafunga mwaka wa Serikali unakuta umekusanya trilioni 34 huku fedha yote imekwenda kwenye matumizi ya kawaida badala ya miradi ya maendeleo?Kwani kabla ya misaada miradi mingi ilikuwa imeamka? Haikulala?
Kutekelezwa Kwa miradi kinategemea upatikanaji wa pesa.
Kama hakuna kilichokwama kwanini Rais aliyeshinda asilimia 98 anataka maridhiano kama sio pressure ya mabeberuBaada ya kunyimwa nini kimekwama? Mbona maisha yanaendelea vuzuri tu?? Jifunzeni kujitegemea, Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi
Huyu mtoa mada amechagua kuongea uongo kama Kitila mwenyeweMkuu,