Prof Kitila: Waliopinga DP World Wakiri Mafanikio Yake Hadharani

Prof Kitila: Waliopinga DP World Wakiri Mafanikio Yake Hadharani

Mmh! Rostam tena ?
Ulitaka asemeje?
Nadhani ni mmoja wa benefiticiares wa mradi huo!
 
Kipindi kile akiwa kwenu chadema ..mlikuwa mnamwita think tank wa chadema na nchi
 
Ugongwe leo uzae leo?

Vuta subira kwanza uone subira anavyovuta bangi.

Tunapewa kwanza chipsi yai.
Kisha mimba
Mshangazi wewe unatumia akili kuona mambo kwa upeo. Hii ndiyo maana ya kuwa mshangazi
 
watu hatukupinga DP world, tulipinga mkataba. hivi hawa wana akili kweli? kwa hiyo hata kama mtu anafanya vizuri ndio mkataba uwe mbovu upande wetu? ikitokea kesho akafanya vibaya utamfanya nini? hawa wanatuona watz wajinga sana ujue.
 
Nchi hii Ina mafisi maji wengi sana!
 
Kwa hiyo hujui kuwa kipengele kipo, umeambiwa tu kipo?

Mpaka hapo huoni tatizo bado?
Kwa sababu vipengele vya mikataba hawezi ona Kila mtu nadhani taratibu unazijua.

How sure you are kwamba hakipo? Taifa limewaamini waliosaini so kipo.
 
Back
Top Bottom