mchakamchaka2
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 115
- 54
Naona dalili ya kuwa na cuf zanzibar na cuf bara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtatiro hana kabisa influence kwa wana cuf wa Buguruni pale na bara kiujumla...
ilo ni tatizo lingine....
Boss ebu tuongee siasa vizuri hapa. Niambie hawa wafuasi wa lipumba ni wa wapi Wa haiba ipi za siasa za tanzania) na wakati anajiuzuru walijisiaje na hatima ya chama chao ni hipi kama lipumba anarudishiwa rungu.Siasa za Tanzania zina mengi sana
Lipumba kabla hajajiuzulu aliwahi kutaka kujiuzulu zamani
sababu ni Seif kuwaburuza wana CUF wa bara
na wana CUF wa bara wanalijua hilo
alianza kupata 'die hard fans' kwa hilo..kitendo cha juzi Seif kumchagua
Mtatiro kimezidisha tatizo......wao hawataki 'mwenyekiti kibaraka'
na Seif kafanya exactly wasichotaka.....na sasa kila kitu kinaamuliwa Zanzibar...
Hili la kusema Lowassa ndo sababu nil la juu juu sana...
Hawa wafuasi wa Lipumba wana mengi sana...ndo maana huu mgogoro unazidi kuwa mkubwa....
Nilitaka kusema namna hii namimi ndio maana Watawala wanamchukia nakumuita kila aina ya Majina sababu jamaa hana BEI dhoruba iliyovuma nyakati za Zitto na Slaa ilikuwa inawapeleka kubaya lkn MBOWE amebakia kuwa alama ya Kiongozi maana yakuongoza upinzaniHii ni sababu mojawapo ya kwa niji Mbowe ataendelea kuheshimika sana. Kwa sababu ni kiongozi mwenye msimamo lakini pia mwenye uwezo wa kuiona hatari kabla haijatokea.
NCCR waliangamia kwa mbinu chafu kama hizi zinazoendelea sasa za kuiangamaiza CUF.

Mbinu kama hizi wakati wote hazijaweza kumshinda Mbowe. Mbowe huziona kabla hazijatokea, na huchukua hatua kabla ya madhara kutokea. Kama siyo uimara wa Mbowe na wenzake ngazi za juu, huenda CHADEMA ingekuwa imeparanganyika zamani sana.

CHADEMA waendelee kuchukua tahadhari kubwa maana nao hawapo salama kwa mbinu kama hizi zinazotumika kwa CUF. NI rahisi sana chama kuvurugika kama mshindani wako anaweza kupenya mpaka kushika nafasi ya juu kabisa katika chama. Walitaka wafanye hivyo kwa CHADEMA lakini walishindwa, wakaishia tu na maneno kuwa ndani ya CHADEMA kuna udikteta, Mbowe ni dikteta, Mbowe ni mwenyekiti wa maisha, n.k. lakini yote hayo ni kwa sababu Mbowe hapenyeki.
Hatua hii kaichukua kwa madai ya kwamba anakisuka chama upya. Professor Lipumba kachukua hatua hii mara baada ya jana kurudi katika kiti chake ikiwa ni maamuzi ya msajili wa vyama vya siasa, ambaye kisheria ndio mlezi wa vyama vyote vya siasa!...
Katika kauli yake, kasema hii ni hatua ya kawaida katika kusuka chama ili kiendane na wakati na kujipanga kwa uchaguzi wa meya Kinondoni na Ubungo, na uchaguzi mkuu wa 2020...
Pia, Prof. Lipumba kawaonya wabunge wa CUF kuacha kurukia mambo na kasema watii katiba, sheria, na kanuni za chama hicho vinginevyo watapoteza nafasi zao
Hayo yakiwa yanaendelea kwa upande mwingine viongozi wa mpito wakiongozwa na Mtatiro na Maalim Seif wameitisha baraza kuu itakayofanyika siku ya Jumanne Zanzibar ili kutoa kauli ya pamoja ya kupinga maamuzi ya Jaji Mtungi
Boss ebu tuongee siasa vizuri hapa. Niambie hawa wafuasi wa lipumba ni wa wapi Wa haiba ipi za siasa za tanzania) na wakati anajiuzuru walijisiaje na hatima ya chama chao ni hipi kama lipumba anarudishiwa rungu.
Wanyamwezi ni wasaliti sana fuatilia mkoa wa tabora kama kuna upinzani labda kidogo kaliua halafu angalia maendeleo wengi ni waendesha baiskeli njaaa kali kwa hiyo sitishangaa huyo jamaaa kutumiwa kama kondom
Kama msajiri wa vyama vya siasa anampenda lipumba akae nae ofisini anywe nae chai lakini sio kumrudisha CUF huyu aliandika barua kwa hiyari yake kuachia nafasi aliyokuwa nayo; Jaji mutungi hakumbuki hili, hivi tukisema anakuja kumalizia kazi aliyotumwa na CCM tutakuwa tumekosea; wana CUF msikubali lipumba arudi alipotokaHatua hii kaichukua kwa madai ya kwamba anakisuka chama upya. Professor Lipumba kachukua hatua hii mara baada ya jana kurudi katika kiti chake ikiwa ni maamuzi ya msajili wa vyama vya siasa, ambaye kisheria ndio mlezi wa vyama vyote vya siasa!...
Katika kauli yake, kasema hii ni hatua ya kawaida katika kusuka chama ili kiendane na wakati na kujipanga kwa uchaguzi wa meya Kinondoni na Ubungo, na uchaguzi mkuu wa 2020...
Pia, Prof. Lipumba kawaonya wabunge wa CUF kuacha kurukia mambo na kasema watii katiba, sheria, na kanuni za chama hicho vinginevyo watapoteza nafasi zao
Hayo yakiwa yanaendelea kwa upande mwingine viongozi wa mpito wakiongozwa na Mtatiro na Maalim Seif wameitisha baraza kuu itakayofanyika siku ya Jumanne Zanzibar ili kutoa kauli ya pamoja ya kupinga maamuzi ya Jaji Mtungi
Mkuu tena ana njaa kali sana. Nawahusia wana CUF wasikubali huyu msaliti na anakuja kuua chama katumwa na CCMHaaah professor, njaa ,uchwara ,uchu wa madaraka ,kibaraka wa ccm
Kweli kuna kazi nchi hii!!
Usipate shida sana mkuu. Ni suala la ZANZIBAR na uchaguzi uliovurugwa na Jecha. Hapa lengo ni kuifuta CUF kama ni chama cha siasa ili suala la uchaguzi Zanzibar liwe halina mashiko kwa Maalim Seif as his political party will be no longer existing!
Kitakachofata kutoka hapo ni Independent Zanzibar. Mark my words!
Pesa anamiliki Judge Mutungi, Lipumba ni signatory... Bila Yeye hela haitoki bankSasa pesa anamiliki nan.