Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

Status
Not open for further replies.
Hapo kinachotafutwa ni kudhoofishwa ukawa. Uchaguzi uluopita umefumbua mambo mengi sana.
Ni kweli kabisa,lengo ni kuwadhoofisha ukawa.ILA mjue Chadema si wajinga,wako tayari kukiacha CUF kibebe msalaba wake ili kijinusuru.

Hakita kubali kufa kifo cha halaiki.
 
Jaman naombeni mwenye ushahidi kua anatumiwa na CCM aulete au anambie maana naskia tu anatumiwa anatumiwa bila ushahidi?
 
Cc MOTOCHINI sikuoni huku
 
Mtatiro anadanganyika na "LIKES" anazozipata Facebook...... Anajiona anatosha kuwa Mwenyekiti CUF.....
wewe ndiyo mmoja mnaopata chambichambi za mafedhuli wa CCM na mngese wenu lipumba
 
Prof, vipi unaamua kula matapishi yako, ulichotegemea kitatokea, hakijatokea?
Unda chama chako wafuasi unao.
 
Niliyoyatabiri yamefika udikteta wa maalim na MTATIRO sasa iwekaba koo shingoni! Ni lazima wamtii tuuh maana hakuna namna
 
WALAHI. .NAIPENDA HII YA CUF....
 
Jaman naombeni mwenye ushahidi kua anatumiwa na CCM aulete au anambie maana naskia tu anatumiwa anatumiwa bila ushahidi?
HAWA NDIO WAPINZANI UCHWARA... WAKIKOSA HOJA WANASEMA ANATUMIWA NA CCM..

Kama waliweza kutuaminisha kuwa Lowasa ni fisadi... Ghafla wakaanza kumsafisha... Ni kichaa pekee anaweza kuyafanya haya.
 
Prof, vipi unaamua kula matapishi yako, ulichotegemea kitatokea, hakijatokea?
Unda chama chako wafuasi unao.
Kweli mkuu kama anapenda siasa aunde chama chake ili awe mwenyekiti pa..mbafu zake mkubwa
 
Mtatiro hakuwa na backup plan...alkuwa anaendeshwa na matukio, ngoja mnyamwez awaonyeshe kazi
 
Kwahiyo na Maalim kafukuzwa kazi na Lipumba au?
Ha! Ha! Ha!
 
Punguzeni propaganda kuliko uhalisia! Lipumba aliwekwa na umma siyo na MTATIRO na MAALIM ifike mda ukweli utengwe na uongo ndo maana umma imemrudisha tena kazini
 
We ndo umesema ukweli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…