VP, umepeleka mifuko 400 ya cement kwa gharama za mamilioni ya msafara uliokwenda kwa ndege! Ha ha ha ha siasa za Maji taka bana!Kinachonisikitisha ni furaha waliyonayo CCM dhidi ya huu uhalifu unaofanywa na MUTUNGI wakishirikana na LIPUMBA.
Kweli dunia haina haki...!
Hapa yaonekana ni mundu kwa mundu yale ya honorable Namwamba wa Kenya!!!! very soon mtaona mwenyekiti wa cuf wa mahakama(msajili wa vyama vya siasa) na mwenyekiti wa sanduku la kura( through ballot box).Du, kazi ipo
Kama unakumbuka kwenye ule mkutano uliovunjika ilipigwa kura kama Prof. aendelee au vipi (kitu kama hicho). Kura nyingi zilizopigwa zilimkataa, waliomuunga mkono ni kama 14 lakini kulikuwa na kundi kubwa ambalo lilikataa kupiga kura. Hii kwangu naisoma kuwa hao wako nyuma ya Prof. Na inavyoelekea wengi ni wa bara na hivyo hivyo wasiomkataa wengi ni wa ZNZ. Ikitokea kila upande una nguvu basi - na naaamini ni hivyo CUF inatatizo kubwa. Bila kupatanishwa chama kinaweza ku-split. Ni wazi CCM watafurahia na kuchochea mpasuko utokee na UKAWA watakua hatarini. Mambo yakiharibika UKAWA (CDM, NCCR, na NLD) itabidi waamue waende na nani. Kwa siasa za sasa hivi huenda wakaenda na CUF zenj na kukawa na uhasama na CUF Tanganyika. Tuombe yasifike huku upinzani ukizorota ............Watu wengi wanapenda kufanya mambo kihisia tu
hawataki kutazama reality....Lipumba hata kama kanunuliwa na CCM..
akiweza kuwa na wafuasi tu basi ni tatizo
siasa ni watu na sio sheria...
Next move Lipumba atamtimua Seif. Kama mwenyekiti wa chama uwezo wa kumtimua katibu mkuu anao eg Mbowe vs Slaa/ Zitto.
Kama unakumbuka kwenye ule mkutano uliovunjika ilipigwa kura kama Prof. aendelee au vipi (kitu kama hicho). Kura nyingi zilizopigwa zilimkataa, waliomuunga mkono ni kama 14 lakini kulikuwa na kundi kubwa ambalo lilikataa kupiga kura. Hii kwangu naisoma kuwa hao wako nyuma ya Prof. Na inavyoelekea wengi ni wa bara na hivyo hivyo wasiomkataa wengi ni wa ZNZ. Ikitokea kila upande una nguvu basi - na naaamini ni hivyo CUF inatatizo kubwa. Bila kupatanishwa chama kinaweza ku-split. Ni wazi CCM watafurahia na kuchochea mpasuko utokee na UKAWA watakua hatarini. Mambo yakiharibika UKAWA (CDM, NCCR, na NLD) itabidi waamue waende na nani. Kwa siasa za sasa hivi huenda wakaenda na CUF zenj na kukawa na uhasama na CUF Tanganyika. Tuombe yasifike huku upinzani ukizorota ............
Hongera sanaa Profesa lipumba fukuza hao wasaliti wote ndani ya CUF! MTATIRO na MAALIM wamelikoroga waacheni walinywe utashirikianaje na Dikteta Mbowe na FIsadi nyangumi Lowasa
Tuagizie pop corn kabisa!Sasa ndio picha limeanza chukueni viti vyenu mkae mliangalie picha mimi nimekaa seat ya mbele.
Hata wao hawajui why sisi ccm tunahangaika na mambo ya CUF.Sijui kwanini Chadema wanahangaika sana na mambo ya CUF!
Sasa CCM inaingiaje kwenye mgogoro wa CUF?Mwenyekiti wa CUF ya Wapemba Julius Mtatiro kahamia Mkunazini Unguja Makao Makuu ya CUF ya Taifa ni Buguruni na ndo yupo Prof Lipumba Mwenyekt halali wa CUF
'Baada ya Uchaguzi huu (2015) ndio Mtajua kuwa CCM sio Chama cha Mchezo mchezo- Alhaj Mtarajiwa Dr. Jakaya!
Thubutu, Liprof ndio anaendelea kuzamaCuf ndio inakufa ivyoo
Ukifanikishwa na msomi profesa anayedharirisha taaluma yakeNahisi umeya wa Ubungo na Kinondoni kuludi CCM. Mission complete chezea ccm wewe mahesabu ya mbali kabisa mkishtuka tayali zamaani wamemaliza michezo
Kuna kadada ka kizenji kalikula vitasa siku ile kwa kumkashifu Lipumba, naikumbuka ile mechi!Huo uchaguzi wafuasi wa Lipumba walisema ulichezewa
na wapiga kura wengine sio wanachama
sijui ukweli ni upi....
CUF tayari ina shida
Sasa CCM inaingiaje kwenye mgogoro wa CUF?
We unavyoonyesha, hata ukimfumania mkeo anagegedwa na Manfongo utasema ni ccm imehusika!Sasa nimeanza kuwaelewa chadema.kuna kipindi jamaa moja walitaka kutumiwa kuimaliza chadema wakamfukuza. Sasa naipata picha kamili ya ujambazi unaofanywa na CCM.