Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

Status
Not open for further replies.
Ina maana lile group alilokuja nalo lipumba pale makao makuu ndio wafuasi wa CUF nchi nzima? Mbona hata Diamond sio mwanasiasa lakini anao wafuasi wengi sana...Hata leo DR.Slaa akirudi Chadema atapata wafuasi..
 
Unapendekeza njia gani kwa mfano?
 
Usipate shida sana mkuu. Ni suala la ZANZIBAR na uchaguzi uliovurugwa na Jecha. Hapa lengo ni kuifuta CUF kama ni chama cha siasa ili suala la uchaguzi Zanzibar liwe halina mashiko kwa Maalim Seif as his political party will be no longer existing!

Kitakachofata kutoka hapo ni Independent Zanzibar. Mark my words!
 
Ndugu umegonga kwenye uhalisia, mimi mara ya kwanza kushangaa ni kwenye mkutano wa baraza kuu la Taifa ambao uliisha kwa fujo. Niliangalia ule mkutano na nikastushwa na back up aliyokuwa nayo Prof, uhalisia wa kule ni tofauti na wa huku mtandaoni. CUF bara walikuwa bado wanamtaka Prof wakati CUF visiwani walikuwa watiifu kwa Maalim.
 
Baada ya kufanikiwa kurudi sasa mnasema ni ujinga wake. Vp alivyofukuuzwa baada yabkukijenga chama mda mrefu? Sasa si amerudi!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…