Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Status
Not open for further replies.
Kuna kikao kinaendelea sasa hivi makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo cha kumpokea Prof. Lipumba.

Karibu sana Prof. Lipumba kwenye chama.
Huo ndiyo uungwana. Tutamuheshimu sana PROF.Lipumba iwapo atafanya uamuzi huo wa amani. Hili ni jambo la kiungwana kuliko lile analolifanya sasa la kuleta vurugu ndani ya Chama Cha Wanannchi, CUF. Aende kwa amani.
 
rekebisha heading huyu mzee si mwanachama wa chama chochote kwa sasa so atajiunga na wala si kuhamia halaaaaaaaaaaaaa
 
Umenikumbusha asset na liability katika RichDady poor Dady
 

Prof alitangaza LOUD AND CLEAR kwamba anajiuzulu vyeo vyote ndani ya CUF na kubakia mwanachama wa kawaida. Amekaa nje ya CHAMA, kwa sababu zake mwenyewe ameamua kurudi na anataka kujimilikisha tena madaraka aliyokuwa nayo.Prof you are totally wrong
 
Prof Lipumba katutia sana aibu wasomi
Sijapata ona msomi wa hovyo kama huyu
Hakika huyu sio LIPUMBA bali ni MAPUMBA
 
kama ni kweli huko anaenda tu kutafuta jukwaa la kusemea. hana mvuto tena, na kama ACT-wazalendo watamsimamisha kugombea urais 2020 wasitarajie ushindi katika urais wala wabunge.wajiulize kwa nini miaka yote ambayo amegombea urais wananchi hawakuhamasika kumpa kura nyingi wala kupata wabunge wengi tanzania bara.
 
Hii ni kama itakavyotokea baada ya Kumgundua EDDO kama ni CIA wa ccm.
Acha muda uongeee
 

Zitto, ungeongeza maneno "ACT wazalendo inamkaribisha mwanachama yeyote anayetaka kujiunga na chama chetu". Prof anaweza kuwa muhimu sana kwa ACT kama kweli ataamua kujiunga..... Kusema tu kikao kinaendelea na "hakuna ajenda ya kumjadili mwanachama yeyote" ni kama vile ACT haihitaji wanachama tena!!
 
Babu atarejea tuu nyumbani kwake alikotokea na sio ACT.

Pasco
Kuna ukweli fulani. Maana yule babu huwa anajipa muda wa kutafakari na kuchambua maamuzi yake. Na mahesabu yake yaweza kumpeleka nyumbani kwake
 
Kuna kikao kinaendelea sasa hivi makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo cha kumpokea Prof. Lipumba.

Karibu sana Prof. Lipumba kwenye chama.
Mwenyekiti si yupo uko lakini? au ata step down? au Mtendaji mkuu atampisha Proffessor?
 
Prof Lipumba katutia sana aibu wasomi
Sijapata ona msomi wa hovyo kama huyu
Hakika huyu sio LIPUMBA bali ni MAPUMBA
Nimecheka sana,ingawa ukishaingia kwenye siasa inakupasa uvuwe weredi na kubaki kusikiliza wakubwa wako wanasemaje.

Kiujumla TZ hakuna vyama vya siasa bali kuna magenge ya watu wanaotumia siasa kunufaisha matumbo yao.
 
Mh huyo nae akalime tu hana jipya mala huku mala huku anatafuta nn tumechoka na siasa ambazo azina kichwa wala miguu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…