Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Status
Not open for further replies.

Ha ha ha! Siasa noma sana,

Nikiangalia hizi mambo za Dr Slaa Msaliti, Lipumba Msaliti, Zitto Msaliti; Lowassa fisadi then, Lowassa siyo fisadi ni mfumo!

Lipumba anaondoka CUF kwamba nafsi imemsuta, kesho anataka kurudi, imeshindikana, anatafuta chaka lingine.

Namwomba Rais wangu Dr Slaa apumzike zake, aachane na ulaghai na unafiki huu wa ACT, CDM, CCM, NCCR nk!
 
Mbona unaongea vitu tofauti na tulivyoona kwenye uchaguzi wa mwaka Jana??
 
Lkn Lipumba alijiondoa CUF mwaka jana na CUF wakaongeza viti vya Ubunge huku bara!
Mkuu waliongeza viti vya ubunge bara kutokana na upepo mkali wakisiasa,lakini pia Lipumba alitulia hakupigia kampeni chama chochote kile.Hii iliwapa wafuasi wake wakati mgumu wakuchagua either Ukawa or CCM.Sasa pale je atakapoamua kupanda majukwaani na kule anakopigaga siasa zake.Wapo wanaomsikiliza Lipumba sio kwa itikadi ya chama.
 
It is always like that
 
Sasa kule si wana mgombea ambaye ni Zitto?
 
Nadhani Prof Lipumba alivuta CCM hela nzuri Oktoba ile na hii imeondoa sana heshima yake
 
Wewe muongo tena mbeya umepata wapi habari hiyo

Kuna kikao kinaendelea sasa hivi makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo cha kumpokea Prof. Lipumba.

Karibu sana Prof. Lipumba kwenye chama.
 
Prof Lipumba ni mgombea urais na mwenyekiti wa milele
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ndo mana abatunia[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] viva baba fread
 
Nadhani Prof Lipumba alivuta CCM hela nzuri Oktoba ile na hii imeondoa sana heshima yake
Nikweli lakini tambua wapo wafuasi uchwara wa mtu au walio kuwa wananufaika nae lazima waongozane nae atakapoelekea.

Jaribu ujiulize hivi Magdalena Sakaya(Mbunge wa Kaliua) ananufaika na nini kwa kuwa upande wa Liprofeseli?.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…