Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Status
Not open for further replies.
Hii kamati kuu ni sawa na mkutano mkuu wa tawi wa CHADEMA..... Tafadhali CHADEMA/UKAWA wasaidieni hawa jamaa Magufuli ataviua hivi vyama

 
Hahahahaha mkuu ulipigaje hiyo picha bila kuonekana hahahaha
 
Hizi ofisi zao si kilikuwa kike kifrem ambacho kulikuwa na steshenari hapo kabla?
 
Ole wao ACT wasimpe uenyekiti atawaletea mbilinge km ile aliowapigia CUF kwe mkutano mkuu...mzee ana kiu na uenyekiti tu hatak porojo kabisa
 
No no no! Ukitaka kuitukana ACT tafadhali usifanye mlinganisho na chadema, CDM hatutaki ugomvi na vyama vya upinzani, sisi adui yetu wa kupigana nae ni ccm/chama tawala.
 
Hahaaaaaa... Magufuli vyma kama hivi ikisema lala.... Lazima itekelezeke haraka sana
 
Hii mikutano ya ndani si imeshakatazwa?
Au hawa ACT ni wakenya?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…