Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Status
Not open for further replies.
Kweli nimeamini elimu ya nchi yetu ni janga, msomi wa kiwango cha professor anashindwa kujiajiri anakimbilia mahali atakapoajiriwa tu!!!

Cc: Pasco, Kitila Mkumbo
 
Kweli nimeamini elimu ya nchi yetu ni janga, msomi wa kiwango cha professor anashindwa kujiajiri anakimbilia mahali atakapoajiriwa tu!!!

Cc: Pasco, Kitila Mkumbo
Hata huko ni kujiajiri
 
Molemo unapiga ramli sasa?

Ingefaa sana ungetuambia Kama Mbowe a nadaiwa na NHC laa hasha. Au wewe unaachia ngazi lini nafasi yako ya ukurugenzi chadema?
 
Lipumba si malaya wa kisiasa....
Hapa ndio natambua kwa nn watu wanang'olewa kucha kwa makoleo
 
Tusubiri taarifa tuache kudandia treni kwa mbele!Hata EL bavicha walimsema sana kwamba anaenda ACT mwishowe akaishiwa kwao Chadema!au hii huwa ni mbinu ya chadema kuwa dustruct watu wanaohama vyama waende kwao tu
 
Sina hakika kama zzk ana ukwasi wa kuhimili mikikimikiki ya siasa na huyo prof. Kinyume chake watakuwa kama NCCR, TLP, Ashim Rungwe, ADC nk
Kweli kabisa mkuu tunazidi kuongeza wapinzani wa upinzani nchini tanzania
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…