#COVID19 Prof. Makubi: Wanasayansi Wazalendo wanakaribia kutengeneza Chanjo ya Corona ya Kitanzania

Tunaisubiria hiyo. Hiyo hata kwa majaribio niko tayari.
 
Hahaha, yaani mnataka kufanya re-labelling ya Johnson&Johnson halafu mseme ya Tz?!!😂😂, tangu tupate uhuru, Tz imeshawahi kutengeneza chanjo ngapi? Labda tuanzie hapo
 
Mmmh kama ile ya madagasca?
 


Hiyo ni chanjo ya aina ya Viral vector au mRNA???
 
Akina nani wamejitolea kutestiwa? Mi kama chanjo haionyeshwi nani katestiwa sichanjwi.

Natania jamani. Nimechanja Dar, nimechanja Wanging'ombe na nimechanja Magunga.

Natania
 
Sio kwamba itakuwa ni hio ya kigeni wataibadilisha jina na kusema ni made in Tanzania?
 
Safi sana
 
Ningemuelewa kama angerudisha Mloganzila iwe university teaching hospital.
 
[emoji23][emoji23]
 

2011
Magufuli apeleka Sh1bn Loliondo

WAZIRI wa Ujenzi wa wakati huo, Dk John Magufuli, naye alitua Kijijini Samunge kwa mchungaji Ambilikile Masapila ili aweze kupata kikombe chake cha dawa kama anavyoonekana hapo juu. Baada ya kupata dozi yake Waziri Magufuli alitangaza neema ya kujengwa kwa barabara kuu inayoingia kijijini hapo.

Magufuli aliuambia umati wa watu uliokuwa ukisubiri zamu yao kunywa dawa kuwa, Serikali ingetumia Sh1.05 bilioni kwa ajili kutengenenza barabara hiyo ili iweze kupitika wakati wote kwa lengo la kuwarahisishia usafiri wanaokwenda kunywa dawa kwa Babu Masapila.

Je ni Watanzania wangapi walikufa kwa kuacha kutumia dawa za hospitali na kukimbilia kikombe cha Babu?

2020
Nireteeni Gwajima, Nireteeeni Gwaaajimaaa, Nireteeeeni Gwaaaajimaaaa, Nireteeeeeeni Gwaaaeeajimaaaaaaaee!
 
Familia za hao wanasayansi ziwe Demo katika kuchomwa hiyo chanjo

Tanzania tangu lini kukawa na wanasayansi
 
Ataje wako chuo gani au maabara gani

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo sio kutengeneza..., tatizo ni research ya kutosha na investment kubwa inayotumika

Sio bahati mbaya hizo chanjo yanagundua makampuni yenye funds na resources za kutosha (medicine inahitaji investments na funds) unaweza ukajaribu dawa 20, 18 zote zikawa hasara moja ukadhani inafanya kazi kumbe ina side effects ukawa sued ukapoteza mtaji wako zaidi ya nusu..., na moja tu ndio ikafanya kazi....

Hivyo basi sisi, ambao bidhaa zetu, na viwanda vyetu quality zake leaves a lot to be disered..., tungeachana na mambo ya chanjo kwanza...
 
Askari wa wanyama pori wawasaidie wanasayansi wazalendo kukamata ngederere na nyani wa majaribio kwa ajili ya hii chanjo ya nchi/taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…