Kwa hiyo Serikali inakili wazi kushindwa kuleta ufanisi inategemea mtu wa kuja aje awajengee uchumi mzuri watanzania. Tulidai UHURU ili tufanye nini?WAZIRI wa Uchukuzi Bw MBAWALA anadai BANDARI ikipata MWEKEZAJI Makini Bandari itachangia Asilimia 67 Ya BAJETI na "HATUTATEMBEZA BAKULI."
BINAFSI NAMPINGA kwa sababu MFUMO uliopo Hayo MAKUSANYO yatapigwa na WAHUNI na HAWATAFANYWA chochote kwani SHERIA zilizopo ZINAWALINDA WEZI na MAFISADI hivyo TUSIDANGANYANE.
Viongozi na Watendaji Wamekuwa WAKIIBA FEDHA za SERIKALI kama REPORT ya CAG inavyoonyesha lakini HAKUNA HATUA wala UTHUBUTU wa KUWACHUKULIA HATUA Umeonyeshwa na VYOMBO VYOTE sio BUNGE TAKUKURU wala SERIKALI hivyo na Hayo MAKUSANYO ya BANDARI YATAIBIWA TU.
Serikali hii ina manufaa gani kwa watanzania?