Prof. Mkenda na Mchengerwa mbona hamko serious na kazi zenu?

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
 
Wanaosimamia elimu Tz hawakubali watoto wao wasome kwenye shule wanazozisimamia!
 
Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Nasikitika na wewe unafanya kosa kama hao waandaa mtaala. Nachofahamu ni kuwa Sasa hivi ni muda wa orientation course, hii imeejdelea kubaki kama kawa (wiki 8). Baada ya hapo ndipo yataanza masomo rasmi ya....hayo ya mtaala mpya.

Nakuunga mkono, Kuna tatizo kubwa katika hili......kubwa kiasi hata unaowashutumu kina Mchengerwa na Mkenda pengine hawaelewielewi nini' kifanyike katika kinachotokea.

Sikuungi mkono kuwaacha tu hao watoto, wapigeni English course ya maana......baada ya hapo ndipo muwauzie ubuyu.
 
Hapo kwenye English course,je una uhakika walimu wa English shule za serikali wapo?
Maana kuna graduates wajinga siku hizi kiasi hata kuandika barua hawajui!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa tu shule hiyo masomo yanayotumia kiingereza yanafundishwa, basi hapo English course inaweza kufanyika.😄😄😄😄
Ni kiswahili peke yake ndo hakitumii kiingereza
 
Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Wattoto wao hawasomi huko, hawana hasara
 
Kwani kuna elimu Tanzania? Au tunafundishana utapeli tu?
 
Shule za Tanzania watoto wanachofuata ni kuondoka ujinga wa kitokajua kusoma na kiandika tu, elimu wataikuta mitaani.
 
Pamoja na changamoto zote, lakini MCHENGERWA anao unafuu kuliko Prof Mkenda. Yaani kiukweli kabisa hawa wengi wa Maprofesa binafsi sielewi utendanji wao. Ongezea Prof Kitila.....yaani maneno mengi bila utendaji. Wagumu wakushaurika @ Mama Samia, Rais wetu........ebu ikikupendeza hawa watu wapatie kazi zingine.
 
Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Shekhe usiwe mwoga saana. Dance according to the tone...
 
Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Kuna shule ipo Dar hawana mwalimu wa physics juma moja linakaribia kuisha toka shule zifunguliwe.
 
Back
Top Bottom