Prof. Mkenda na Mchengerwa mbona hamko serious na kazi zenu?

Hii ni kweli.
Unaanzisha mtaala mpya, walimu ambao ndio watekelezaji wakuu hujawapa semina au mafunzo, vitabu havipo, na pia zana zinazuhusiana na mtaala ni haba.
I wish I could be SAMIA.
NINGEKULA KICHWA CHA MKENDA.
 
Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Huu mtaala mpya matokeo yake tutakuja kuyaona tu huko mbele subirini! By the way, Mh Waziri Mchnegerwa hapa anaingiaje au anahusikaje?
 
Shida viongozi wa Serikali wanawaza upigaji hadi kwenye hela ya kujenga shule matokeo yake madarasa machache, shule haina maabara wala maktaba.
 
Yeye ndio overrole wizara zote za huduma za kijamii,
 
Shida viongozi wa Serikali wanawaza upigaji hadi kwenye hela ya kujenga shule matokeo yake madarasa machache, shule haina maabara wala maktaba.
Tanzania hamna kabisa uzalendo mkuu, ni changa
 
Hii ni kweli.
Unaanzisha mtaala mpya, walimu ambao ndio watekelezaji wakuu hujawapa semina au mafunzo, vitabu havipo, na pia zana zinazuhusiana na mtaala ni haba.
I wish I could be SAMIA.
NINGEKULA KICHWA CHA MKENDA.
Kabisa mkuu wanawachezea watanzania wabaingazaji sana , lakin kiama kinakuja kila kiongozi atalia na kusaga meno
 
Hilo li-Mkenda ni lipuuzi hata aliyemteua hayuko serious. Samia anajenga skuli za maghorofa Zanzibar kwa pesa za watanganyika hana muda na elimu yenu watanganyika.
Huyu hata uwezo wake unatia shaka kabisa, afadhali wange mpa msonde
 
Pole wewe. Nilianza pale aliposema siku ya nne watoto wapo tu hawafundishwi chochote. Ndipo nokaja na hoja hiyo; Kwahiyo hata salamu, kujitambulisha, kuwatambulisha wenzio, kuhesabu, kusoma ramani nako kumebadilika?!!!!
Elimu ni system kuna vitu inatakiwa ufuate suala sio kufundisha tu, learning process needs psychological preparation both student and teachers,
 
Bora hata wakoloni walikuwa wanajenga shule chache zenye maana na zilizojitosheleza kuliko serikali yetu inajenga shule nyingi ambazo inashindwa kuzihudumia matokeo yake mwalimu mmoja anafundisha watoto 200 kwa wakati mmoja.
Kabisa mkuu, yaani elimu ya Tanzania inachezewa sana na wanasiasa
 
Yaani Hawa jamaa hasa hasa mkenda wanachuki kubwa Sana na watoto wa kitanzania. Sijuwi Kwa kuwa wao wanamudu gharama ya international schools.
Wamekosa kabisa uzalendo mkuu,
 
Mp
Hilo li-Mkenda ni lipuuzi hata aliyemteua hayuko serious. Samia anajenga skuli za maghorofa Zanzibar kwa pesa za watanganyika hana muda na elimu yenu watanganyika.
Mpuuzi Kabisa
 
Shida viongozi wa Serikali wanawaza upigaji hadi kwenye hela ya kujenga shule matokeo yake madarasa machache, shule haina maabara wala maktaba.
Wizara yake ( TAMISEMI) nayo inahusika na elimu, inatekeleza huo mtaala toka wizara ya elimu. Moja ya udhaifu mkubwa kuwahi kufanywa na serikali ni kuitwisha TAMISEMI mambo mengi ambayo haina weledi nayo.Mambo ya elimu yangebaki wizara mama ambayo ni ya elimu
 
Kabisa MKUU
 
Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Hiyo ndio inaitwa bora liende
 
Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpyMa wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Ndio maana Mimi sijaenda shuleni wiki mzima.Mr.ticha
 
Hawa watu hawakuwa wamejipanga,yaani wanapoteza muda wa watoto sana,wiki ya pili sasa hamna chochote
 
Ni

Ni kaz sana viongozi wa Tanzania, wanaleta siasa kwenye elimu ya wabangaizaji
 
Back
Top Bottom