Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazindua mtaala wakati vitabu shuleni, hamna, walimu hawapo,Sisi wazazi tunao umia sana na huu upuuzi inabidi mtufikirie..Eti tenda ya vitabu wanampa Nyangwine ..nae kapiga chake yupo India ametulia. Sikuona na wala sioni ulazma wa kutekeleza mtaala ulioboreshwa kwa haraka hivi
Yaani ni shida na utakatka wa hali ya juu sanaWa
Wanazindua mtaala wakati vitabu shuleni, hamna, walimu hawapo,