Wanaosimamia elimu Tz hawakubali watoto wao wasome kwenye shule wanazozisimamia!Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Nasikitika na wewe unafanya kosa kama hao waandaa mtaala. Nachofahamu ni kuwa Sasa hivi ni muda wa orientation course, hii imeejdelea kubaki kama kawa (wiki 8). Baada ya hapo ndipo yataanza masomo rasmi ya....hayo ya mtaala mpya.Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Hapo kwenye English course,je una uhakika walimu wa English shule za serikali wapo?Nasikitika na wewe unafanya kosa kama hao waandaa mtaala. Nachofahamu ni kuwa Sasa hivi ni muda wa orientation course, hii imeejdelea kubaki kama kawa (wiki 8). Baada ya hapo ndipo yataanza masomo rasmi ya....hayo ya mtaala mpya.
Nakuunga mkono, Kuna tatizo kubwa katika hili......kubwa kiasi hata unaowashutumu kina Mchengerwa na Mkenda pengine hawaelewielewi nini' kifanyike katika kinachotokea.
Sikuungi mkono kuwaacha tu hao watoto, wapigeni English course ya maana......baada ya hapo ndipo muwauzie ubuyu.
Ikiwa tu shule hiyo masomo yanayotumia kiingereza yanafundishwa, basi hapo English course inaweza kufanyika.😄😄😄😄Hapo kwenye English course,je una uhakika walimu wa English shule za serikali wapo?
Maana kuna graduates wajinga siku hizi kiasi hata kuandika barua hawajui!
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Wattoto wao hawasomi huko, hawana hasaraMtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Shekhe usiwe mwoga saana. Dance according to the tone...Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Kuna shule ipo Dar hawana mwalimu wa physics juma moja linakaribia kuisha toka shule zifunguliwe.Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Hawaamini usahihi katika usimamizi waoWanaosimamia elimu Tz hawakubali watoto wao wasome kwenye shule wanazozisimamia!