Prof. Mkenda na Mchengerwa mbona hamko serious na kazi zenu?

Siasa nyingi sana kuliko vitendo
 
Ikiwa tu shule hiyo masomo yanayotumia kiingereza yanafundishwa, basi hapo English course inaweza kufanyika.πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Ni kiswahili peke yake ndo hakitumii kiingereza
Ni shida sana mkuu, wapo bize siasa huku watoto wa wabaingazaji wanakosa elimu bora
 
Hahahhahahha, english course hiyo hamna formati, maana form kila kitu kipyaa
 
Pole sana mkuu hivi ujui kau Basiline/orientation course lazma iendane na masomo yatakayofundishwa. Tatizo msiokua kwenye hii field ndiyo mnaisemea hii field
 
Pole sana mkuu hivi ujui kau Basiline/orientation course lazma iendane na masomo yatakayofundishwa. Tatizo msiokua kwenye hii field ndiyo mnaisemea hii field
[/QUOTE
Kabisa mkuu mtu anatetea asichokijua vzr ni vzr soma na upite
 
Siku ambayo mtumishi yeyote wa umma/serikali atakapolazimika kumpeleka mtoto wake kwenye shule ya umma, ndipo tutakapokuwa na viongozi wanaostahili kuongoza, na sio sasa ambapo waziri mpaka Afisa Elimu watoto wao wanasoma Feza.


Ubepari ni unyama unyama .
Watu wanatu mfumo wa kufa kufaana.

JPM alikua ameanza kuboresha shule za umma hasa za bweni .

Elimu yetu iliyumba baada ya kuanzisha shule za kata huku wakubwa wakiwa wamezitekekeza bila walimu na maabara .
Leo hii kila kata ina shule ya kampeni za CCM lakini hazina walimu wa kutosha wala miundombinu rafiki .

Mitaala mpaka sasa tunawategemea wanasiasa kusimamia mambo ya kitaalamu. Prof.Mkenda ni msomi wa juu kabisa lakini alipoingia kwenye siasa ndio basi tena anawaza kufanya mambo yake binafsi kwa manufaa ya familia yake .

Kwa nini hatuendi kujifunza kwa wenzetu huko kwenye nchi zenye mafanikio ya kielimu kama Korea ya Kusini ,Japan, Irani , Kuwait n.k?
 
Uzalendo Tanzania ndio tatizo mkuu, inayosabishwa na egoism
 
Yaani Hawa jamaa hasa hasa mkenda wanachuki kubwa Sana na watoto wa kitanzania. Sijuwi Kwa kuwa wao wanamudu gharama ya international schools.
 
Bora hata wakoloni walikuwa wanajenga shule chache zenye maana na zilizojitosheleza kuliko serikali yetu inajenga shule nyingi ambazo inashindwa kuzihudumia matokeo yake mwalimu mmoja anafundisha watoto 200 kwa wakati mmoja.
 
Walimu wapya wapo bado kwenye usaili. Hapo mpaka waripoti kituo Cha kazi na kuanza kazi ni miezi kadhaa imeshapita.
 
Pole sana mkuu hivi ujui kau Basiline/orientation course lazma iendane na masomo yatakayofundishwa. Tatizo msiokua kwenye hii field ndiyo mnaisemea hii field
Pole wewe. Nilianza pale aliposema siku ya nne watoto wapo tu hawafundishwi chochote. Ndipo nokaja na hoja hiyo; Kwahiyo hata salamu, kujitambulisha, kuwatambulisha wenzio, kuhesabu, kusoma ramani nako kumebadilika?!!!!
 
Mkenda Prof, njoo huku Kuna kimeo chako πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • VID-20250117-WA0016.mp4
    26.3 MB
Hilo li-Mkenda ni lipuuzi hata aliyemteua hayuko serious. Samia anajenga skuli za maghorofa Zanzibar kwa pesa za watanganyika hana muda na elimu yenu watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…