Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Huu mtaala mpya matokeo yake tutakuja kuyaona tu huko mbele subirini! By the way, Mh Waziri Mchnegerwa hapa anaingiaje au anahusikaje?Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Kabisa mkuu wanawachezea watanzania wabaingazaji sana , lakin kiama kinakuja kila kiongozi atalia na kusaga menoHii ni kweli.
Unaanzisha mtaala mpya, walimu ambao ndio watekelezaji wakuu hujawapa semina au mafunzo, vitabu havipo, na pia zana zinazuhusiana na mtaala ni haba.
I wish I could be SAMIA.
NINGEKULA KICHWA CHA MKENDA.
Elimu ni system kuna vitu inatakiwa ufuate suala sio kufundisha tu, learning process needs psychological preparation both student and teachers,Pole wewe. Nilianza pale aliposema siku ya nne watoto wapo tu hawafundishwi chochote. Ndipo nokaja na hoja hiyo; Kwahiyo hata salamu, kujitambulisha, kuwatambulisha wenzio, kuhesabu, kusoma ramani nako kumebadilika?!!!!
Kabisa mkuu, yaani elimu ya Tanzania inachezewa sana na wanasiasaBora hata wakoloni walikuwa wanajenga shule chache zenye maana na zilizojitosheleza kuliko serikali yetu inajenga shule nyingi ambazo inashindwa kuzihudumia matokeo yake mwalimu mmoja anafundisha watoto 200 kwa wakati mmoja.
Wizara yake ( TAMISEMI) nayo inahusika na elimu, inatekeleza huo mtaala toka wizara ya elimu. Moja ya udhaifu mkubwa kuwahi kufanywa na serikali ni kuitwisha TAMISEMI mambo mengi ambayo haina weledi nayo.Mambo ya elimu yangebaki wizara mama ambayo ni ya elimuShida viongozi wa Serikali wanawaza upigaji hadi kwenye hela ya kujenga shule matokeo yake madarasa machache, shule haina maabara wala maktaba.
Kabisa MKUUWizara yake ( TAMISEMI) nayo inahusika na elimu, inatekeleza huo mtaala toka wizara ya elimu. Moja ya udhaifu mkubwa kuwahi kufanywa na serikali ni kuitwisha TAMISEMI mambo mengi ambayo haina weledi nayo.Mambo ya elimu yangebaki wizara mama ambayo ni ya elimu
Hiyo ndio inaitwa bora liendeMtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Ndio maana Mimi sijaenda shuleni wiki mzima.Mr.tichaMtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpyMa wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya nne form one hawajasoma chochote kile,. Eeee Mungu Tusaidie sisi wabangaizaji .
Mawaziri mambumbu + selfishnessTaifa haliwezi kuendelea kwa namna hii