Sisi wazazi tunao umia sana na huu upuuzi inabidi mtufikirie..Eti tenda ya vitabu wanampa Nyangwine ..nae kapiga chake yupo India ametulia. Sikuona na wala sioni ulazma wa kutekeleza mtaala ulioboreshwa kwa haraka hivi