Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

Tusijidharau!
Sio Kujidharau ,tunaposema Chuo Kikuu miaka 1000 iliyopita hebu tuwe na ushahidi basi...wenzetu ,Wazungu wanatuonesha Vyuo vyao vya Karne ya 15 hata moyo unaridhika!
Zamani nikikiwamuumini was Hizi porojoza kina Walter Rodney nilipofumbua macho nikaona no maneno ya Wanaharakati was Historian ya Kizalendo!
Wewe unafikiri ni kweli kuwa Wakoloni waliididimiza afrka?!😆😆
Ninachokiona Mimi ninkuwa ni jamii zenye Hatua Tifauti za Maendeleo ziliingiilina kijamii,kisiasa na Kiuchumi: na mojawapo ilikuwa mbali mno ktk Maendeleo!
 
Mkuu uwe na heshima mkuu ........mtoe Mwandosa kwenye andiko.lako,
 
Mbona Dr. Msukuma haumtaji? Dr. Mary Mwanyelwa?
"Dkt" Mary Mwanjelwa, "Dkt" Makongoro Mahanga (RIP), "Dkt" Masaburi (RIP), "Dkt" Mary Nagu waliwahi kujadiliwa hapa siku za nyuma. Tofauti ni kuwa wao walikwapua zao kutoka degree mills za nje; sasa hawa sasa wakaamua kukwapua humu humu ndani. Tanzania kuna vyuo kadhaa ambavyo havitakiwi kuruhusiwa kutoa shahada za uzamili- UDOM ikiwa mojawapo, ila TUCT ni kama ipo ipo tu.
 
Ndalichako Yuko kimya tu .huyu si ndo alituambia bila A level hakuna uni. Anaruhusuje uzwazwa kwenye PHD .Hadi Dr Msukuma
PHD kama za kina msukuma zipo mkuu,shida ni nani kazitoa! Na sababu ya kuzitoa.
Hata Mzindakaya Alikuwa nayo!
Hivi Leo Chuo Fulani kikimpa Mbunge wa Kahama Kishimba digrii ya heshima kitakosea..

Jamaa huwa anatoka nje yaa box aisee😄😄
 
Hata Mzumbe...
Kuna watu nawafahamu Wana MA za DS Mzumbe ni aibu kwa Elimu,wao wenyewe na Chuo Chao!
 
Sawa Prof.
 
Soma na upate ushahidi, usiwe kama mhitimu wa UDOM.
 
Afrika professional hailipi zaidi kuliko political mkuu.labda nje ndo career Zina Mana Sana.
Hata kama hazilipi bado ni muhimu zitolewe kwa kuzingatia vigezo vilivyowekwa, Kama zitatolewa kienyeji basi ni janga kwa elimu yetu
 
Hao jamaa huko Waliko wanajuta kusoma jizo PHD..Bora wangejikalia kimya tu mana kelele hizi ni nyingi na mm najua hizi kelele sio bure kuna kitu...
 
Mkuu ninachokisema nimekitafakari vya kutosha. Bado nisisitize kwamba mtu aliyetumia nusu karne akispecialize katika taaluma fulani chuo kikuu angeweza kuifaa jamii zaidi kama angewezeshwa inavyostahili kuitumikia taaluma yake. Can you imagine practicing professor wa medicine au neurosurgeon mara tu aache kuitumikia jamii yake katika sekta ya afya hospitalini kwa capacity ya tiba na elimu ya tiba ili awe waziri wa nyumba na makazi? Ikiwa hivyo it is just plain wrong.
 
Sipo toufauti na mtoa hoja, ...ila issue ya PhD honor. haikuanza karne hii , au kwa sababu za kisiasa...
Vilevile tusiingize siasa kwenye vitu vya msingi.
Hoja yangu ni kwamba mtu kupata phD ya heshima aina maana elimu yetu itapungua ila hizi ni exceptional honor.. mfano vyuo vya nje , zilimtunuku jakaya phD honor.
Sasa kupewa u- Doctor ya heshima haina maana kwamba walienda darasani kusomea bali ni kwa namna gani wanatoa mchango kwenye jamii. Na impact yao ilivyo ..
Sisi watu weusi tuna kuwa na roho za wivu yaani mwezetu kapewa heshima kwa mchango haliyoitowa kwenye jamii ..tunaanza kujadili personality ya mtu kweli.., hatuwezi ku- develops kifikra tutakuwa ivi tulivyo.
Nilazima tujifunze ku- appreciate vitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…