Sio Kujidharau ,tunaposema Chuo Kikuu miaka 1000 iliyopita hebu tuwe na ushahidi basi...wenzetu ,Wazungu wanatuonesha Vyuo vyao vya Karne ya 15 hata moyo unaridhika!Tusijidharau!
Zamani nikikiwamuumini was Hizi porojoza kina Walter Rodney nilipofumbua macho nikaona no maneno ya Wanaharakati was Historian ya Kizalendo!
Wewe unafikiri ni kweli kuwa Wakoloni waliididimiza afrka?!😆😆
Ninachokiona Mimi ninkuwa ni jamii zenye Hatua Tifauti za Maendeleo ziliingiilina kijamii,kisiasa na Kiuchumi: na mojawapo ilikuwa mbali mno ktk Maendeleo!