Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini:

"Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli.

Kwa nini msiombe yafuatayo:

1. Abstract of the PhD thesis/dissertation

2. Conclusions or Concluding Remarks of the PhD thesis/dissertation

Mkisoma hayo mtafanya uamuzi wa ubora wa PhD mnazozijadili.

Vilevile, mnaweza kupenda kuwafahamu:

3. Supervisor(s), who is (are) the Internal Supervisor(s)

4. External Examiner(s)

Muhimu zaidi, PhD nzuri itatoa publications kwenye International journals zenye measurable IMPACT FACTORS (IF) ambazo zinaheshimika zitakuwa na range ya O.75-10. Manuscripts zipelekwe huko ziwe published kwenye journals zenye hadhi hiyo ya average to good Impact Factor (IF) or Citation Index (IC).

Mengine yote yako nje ya "the realm of academia."

S Muhongo
17.12.2021"

MY TAKE:
Haya sasa TCU wako kimya kama maji ya mtungi.
Vigezo vya PhD vinabakwa mchana kweupe, wao kimyaaa!
View attachment 2050012
Kama Prof. Muhongo hajasoma abstract zao, kama hajasoma conclusions, kama hajui internal supervisor(s) ni akina nani, kama hajui external examiner(s) ni akina nani na kama hajui wamepublish wapi papers zao zilizowasaidia kugraduate anapata wapi sababu ya kuwa na wasiwasi na PhD za hao waheshimiwa? Hapo ni kama ule msemo wa Waingereza wa "jumping the gun". Lakini pia anayesema TCU iko kimya, sidhani kama ni sahihi. Kazi ya TCU ni kutoa ithibati ya program lakini Senate za vyuo husika ndio zina wajibu wa kuhakikisha wanatoa PhD zenye viwango. TCU hawasimamii wanafunzi wa PhD bali wahadhiri walioidhinishwa na Senate. Maswali ya kujiuliza ni je hao waheshimiwa wamepitia michakato yote ya kupata PhD zao? Senate wameridhika kuwa kilichofanyika kinakidhi viwango vya PhD? Wamepublish kwenye majarida yanayotambuliwa na UDOM? Kama jibu ni ndio, huu wasiwasi wa maprofesa wenzangu unatoka wapi? Kwamba kupata PhD ni mchakato mgumu na hivyo waziri ambaye yuko busy na shughuli za kiofisi hawezi ni hoja isiyo na mashiko.
 
... Duh! Ha ha ha! Sitii neno ila inasikitisha! Kuna online tools za ku-check plagiarism; UDOM hawakufanya hivyo?
Mh! sidhani kama Master na PhD za hapa bongolala wanahangaika kuangalia plagiarism.......hii iliyowekwa hapa plagiarism imeanzia kwenye title, sasa huko ndani itakuwa majanga.
 
Kama Prof. Muhongo hajasoma abstract zao, kama hajasoma conclusions, kama hajui internal supervisor(s) ni akina nani, kama hajui external examiner(s) ni akina nani na kama hajui wamepublish wapi papers zao zilizowasaidia kugraduate anapata wapi sababu ya kuwa na wasiwasi na PhD za hao waheshimiwa? Hapo ni kama ule msemo wa Waingereza wa "jumping the gun". Lakini pia anayesema TCU iko kimya, sidhani kama ni sahihi. Kazi ya TCU ni kutoa ithibati ya program lakini Senate za vyuo husika ndio zina wajibu wa kuhakikisha wanatoa PhD zenye viwango. TCU hawasimamii wanafunzi wa PhD bali wahadhiri walioidhinishwa na Senate. Maswali ya kujiuliza ni je hao waheshimiwa wamepitia michakato yote ya kupata PhD zao? Senate wameridhika kuwa kilichofanyika kinakidhi viwango vya PhD? Wamepublish kwenye majarida yanayotambuliwa na UDOM? Kama jibu ni ndio, huu wasiwasi wa maprofesa wenzangu unatoka wapi? Kwamba kupata PhD ni mchakato mgumu na hivyo waziri ambaye yuko busy na shughuli za kiofisi hawezi ni hoja isiyo na mashiko.
Mkuu hii kauli ya Prof. Muhongo inaonyesha kuna kitu anajua zaidi kwenye hizo thesis, amewatupia watu hints tu wafanye utafiti wao na kujiridhisha "Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli."
 
Ni vitu vya kushangaza sana. Musukuma tunaelewa hiyo takataka ameipata toka kwenye takataka huko India.

Yaani huyu Biteko na Jafo, ambao hata ukijadiliana nao, ni vigumu kufikiria wana viwango hata vya shahada za pili, leo eti wana PhD.

Kwa hili, UDOM imeonekana ni chuo takataka. Hata hao lecturers na professors wa UDOM, kuna taarifa pia hawana viwango vinavyotakiwa. Waligawana uprofesa na udokta kama mahindi ya kuchoma.

Kwanza wachunguzwe hao lecturers, pili hawa waliopewa PhD za michongo waundiwe tume ya kitaluma. Chuo kitazamwe upya, na kufanyiwa marekebisho makubwa ili kitoe elimu yenye ubora.
Yaani akiwa waziri wa wizara husika anapuyanga kupata PhD ya pahala anapofanya kazi kuwa relevant research na study kazitolea humo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo hii PhD ni copy and paste kutokea huko garissa kenya? maajabu haya........mbali na abstract tungependa pia kusoma introducton, objectives, some literature review, methodologies, results and a hint on discussion........
Ndio waviweke online Ili jamii wawe na access ya kujua mbivu na mbichi, pia UDOM inabidi wahadhiri wao wachunguzwe uwezo wao unatia mashaka sana kwa kweli
 
Kuna watu sio PhD material akiwepo Kitila Mkumbo. Uozo tuuu
 
Kama Prof. Muhongo hajasoma abstract zao, kama hajasoma conclusions, kama hajui internal supervisor(s) ni akina nani, kama hajui external examiner(s) ni akina nani na kama hajui wamepublish wapi papers zao zilizowasaidia kugraduate anapata wapi sababu ya kuwa na wasiwasi na PhD za hao waheshimiwa? Hapo ni kama ule msemo wa Waingereza wa "jumping the gun". Lakini pia anayesema TCU iko kimya, sidhani kama ni sahihi. Kazi ya TCU ni kutoa ithibati ya program lakini Senate za vyuo husika ndio zina wajibu wa kuhakikisha wanatoa PhD zenye viwango. TCU hawasimamii wanafunzi wa PhD bali wahadhiri walioidhinishwa na Senate. Maswali ya kujiuliza ni je hao waheshimiwa wamepitia michakato yote ya kupata PhD zao? Senate wameridhika kuwa kilichofanyika kinakidhi viwango vya PhD? Wamepublish kwenye majarida yanayotambuliwa na UDOM? Kama jibu ni ndio, huu wasiwasi wa maprofesa wenzangu unatoka wapi? Kwamba kupata PhD ni mchakato mgumu na hivyo waziri ambaye yuko busy na shughuli za kiofisi hawezi ni hoja isiyo na mashiko.
Mkuu usihalalishe academic mediocrity!
Mtu afanya umachinga wa kisiasa bungeni na kuwajibika akiwa waziri, akili za kupublish internationally recognised research papers ni ndoto ya mchana.
Hilo liko wazi.
Aidha mtu anaamua kuwa an excelling academic au afanye siasa zitakazo mpelekea kuwa Statesman.

Unafikiri watu ni wajinga kutotambua kuwa watu wanahonga to the teeth, ili tu kuboresha CV zao kwa mchakato wa 2025?

UDOM ina sifa ya kuwa na corrupt academicians, na kuna aliyesimamishwa kwa rushwa ya ngono.
Do you think Tanzanians are that stupid?
 
Kwa mara ya kwanza Muhongo kaongea point. Point kubwa na ya msingi ni kwamba akina Sospeter wangebaki vyuoni kama maprofesa wangekuwa useful zaidi kwenye jamii kuliko walivyoingia kwenye siasa.
Wabaki Maskini huko 🤣🤣🤣
 
Ndio waviweke online Ili jamii wawe na access ya kujua mbivu na mbichi, pia UDOM inabidi wahadhiri wao wachunguzwe uwezo wao unatia mashaka sana kwa kweli
Naona kila taaluma saa hizi imeingia michongo, kama msukuma, jaffo, biteko et al., nao wanatambuliwa kwa title ya Dr. basi nimeamua kutambuliwa kwa jina langu la awali bila kuweka title ya Dr. maana naona dharau zinazidi kwenye taaluma..........
 
Ni ujinga tu umewajaa mkuu

Huwezi kua na civilization ya umbali kiasi hicho eti lakini nchi yao wenyewe ni ya mwisho kwa literacy dunia hii ya leo

Hiyo ni 1,000....China tunaambiwa ni zaidi ya miaka 5,000...Egypt tunaambiwa ni even longer miaka 150,000 iliyopita....

Ni strange..

Hawa wanajijengea facts kulazimisha kila kitu kinatoka Afrika wakati ukiangalia reality haingii akilini

Ukiwaambia vipi leo...wanaishia kusema eti wazungu walikuja kuiba kila kitu..evidence ya wizi wote huo upo wapi?Hawana

Na kuiba elimu si tatizo...sisi mbona hatukuendeleza?Kama mpaka mwizi aje aibe hayo maarifa and still aje akuongozee dunia ni kwamba wana akili zaidi yetu to begin!
Mkuu ujinga nao una viwango vyake.
Nawe umetia fora.
Nenda UDOM ukapate PhD!
 
Sasa hivi teuzi nyingi zinachukua watu wenye PhD.
Za kisiasa.
Nani hapendi teuzi
 
Ni vitu vya kushangaza sana. Musukuma tunaelewa hiyo takataka ameipata toka kwenye takataka huko India.

Yaani huyu Biteko na Jafo, ambao hata ukijadiliana nao, ni vigumu kufikiria wana viwango hata vya shahada za pili, leo eti wana PhD.

Kwa hili, UDOM imeonekana ni chuo takataka. Hata hao lecturers na professors wa UDOM, kuna taarifa pia hawana viwango vinavyotakiwa. Waligawana uprofesa na udokta kama mahindi ya kuchoma.

Kwanza wachunguzwe hao lecturers, pili hawa waliopewa PhD za michongo waundiwe tume ya kitaluma. Chuo kitazamwe upya, na kufanyiwa marekebisho makubwa ili kitoe elimu yenye ubora.
Kwa sasa mtaisema sana UDOM lakini pia UDSM ina madudu kibao ya Dr. Mwigulu lakini watu wanajisahaulisha.
 
Back
Top Bottom