Prof. Mukandala hafai kuongoza tume ya katiba mpya

Nielewe, jukumu la kusema tunataka au hatutaki si la mkusanyaji maoni ni la watoa maoni na yeye kama anataka kutoa maoni auachie uenyekiti aje upande wetu ili atoe maoni yake, mimi nashindwa kuelewa uwezo wako wa kutofautisha kati ya refa na mchezaji, wewe unawaona wote sawa!
 
Mi
Kusanyiko lolote utakalofanya ni lazima liidhinishwe na katiba ya nchi, hauruhusiwi kuchangisha pesa bila katiba kukupa uhuru wa kufanya hivyo.
 

Watanganyika wanataka gari mpya wakati tatizo ni kutokujua kuendesha gari.
 
Shida ni watu wa aina ya wewe.
 
Shida ni watu wa aina ya wewe.

Hatuwezi kufikiri kwa kufanana, unachofikiri hakiwezi kuwa sahihi kila mahala na kwa kila mtu.

Tujitahidi kuzifanya bongo zetu kuwa flexible na tuwaze wenyewe kiundani na sio kutegemea wengine wawaze na kutuletea agenda halafu tunakuwa oyaoya.

HOME WORK: FIKIRI KIUNDANI, UNAFIKIRI TANZANIA IMEKWAMA KWA SABABU YA KATIBA?
 
Mukandala akifanya mchezo na Katiba mpya atakuja kukamatwa au kufukuzwa nchini .
 
Hili nalo ni tatizo, haudhani katiba ndiyo inakuwezesha kupata elimu sahihi, tiba sahihi, milo sahihi na makazi bora. Wenzetu walioendelea katiba huwawezesha kulipwa mafao ya kukosa ajira, na haki zote za msingi kama makazi bora na usipopata unayo haki ya kudai siyo sisi rais anatuambia kwani yeye kaleta jaa! Na tunaogopa kudai.
Watanzania tumekuwa watu wa hovyo ndiyo sababu tunatawalika kirahisirahisi.
Hata kama tunatofautiana kifikra lakini tuwe tayari kuelimishwa.
 
Watanganyika wanataka gari mpya wakati tatizo ni kutokujua kuendesha gari.
Kwahiyo unataka wajifunze kuendesha kwenye gari bovu! Matokeo ya kujifunza kwenye magari mabovu ni hizo ajali za kila siku.
 
Maisha yako ya kila siku yanategemea katiba iliyo bora.
 
Wapumbavu hata uwape katiba nzuri kiasi gani bado ni wapumbavu tu na wataendelea kubishana milele amina.

KATIBA MPYA bado itakuwa mali ya wapumbavu ambao ni sisi watanzania kwa mamilioni, TUACHE UPUMBAVU KWANZA.

..tupatiwe katiba mpya sasa hivi.

..upumbavu unaoulalamikia utashughulikiwa lakini tayari tukiwa na katiba mpya na bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…