Prof. Mukandala hafai kuongoza tume ya katiba mpya

Kwahiyo unataka wajifunze kuendesha kwenye gari bovu! Matokeo ya kujifunza kwenye magari mabovu ni hizo ajali za kila siku.

Huhitaji Ferrari kujua kama wewe ni dereva mzuri au lah, IST ya sasa inafaa kabisa na inakufisha chocho zote ambazo hata hiyo Ferrari haiwezi kufika. Noa skills zako za udereva tatizo sio gari.
 
Watanganyika wanataka gari mpya wakati tatizo ni kutokujua kuendesha gari.

..hakuna tatizo.

..ni rahisi kujifunza kuendesha gari jipya kuliko gari bovu / mkweche.

..katiba mpya na bora ni muhimu na lazima.
 
Huhitaji Ferrari kujua kama wewe ni dereva mzuri au lah, IST ya sasa inafaa kabisa na inakufisha chocho zote ambazo hata hiyo Ferrari haiwezi kufika. Noa skills zako za udereva tatizo sio gari.
Hili nalo ni tatizo, dunia ya kwanza hawatumii njia tunazotumia kujifunza udereva, kutokana na hilo wakija kwetu wanapata shida ya kutuzoea uendeshaji wetu ila usijitie ujanja lazima ujue katiba si kwa ajili ya wanasiasa na siasa ni kwa maisha yako yote kuanzia watoto wachanga mpaka wazee na maiti, mazao na wanyama vyote vimo ndani ya katiba na ndiyo inayotengeneza sheria.
 
YOU ARE JUST TALKING RUBBISH. HUO UTASHI NI MJOMBA WAKO NDIO ATAULETA KWA WATANZANIA ILI WAJIELEWE NA KULETA MAENDELEO? KWAKO WEWE KATIBA SIYO MUHIMU ILA UTASHI NDIO MUHIMU SANA. NCHI GANI HIYO HAPA DUNIANI WANATUMIA TU UTASHI KUISHI NA KUJILETEA MAENDELEO? NITAJIE JAPO MOJA TU BASI!
 
99% ni CCM tupu
Hao ndiyo kikosi kazi cha kudhoofisha katiba itakayokidhi mahitaji yetu, hujuma hii inatokana na maovu wanayoyafanya na kupata upenyo wa kujitungia sheria za kinga ya kutoshitakiwa! Sheria hii ipo Tanzania tu nchi isiyo na wenyenchi, nchi unayoweza kufanya hujuma yoyote ile mradi uwe kiongozi wa CCM.
 
Watanganyika wanataka gari mpya wakati tatizo ni kutokujua kuendesha gari.
Unataka Watanzania waendelee kujifunza kuendesha chai maharage wakati mahitaji ya usafirI kwa sasa ni Mwendo kasi? DON'T BE RIGID TO ACCEPT NEW CHALLENGES AND CHANGES!
 
Africa tupo kama mazuzu,sasa unakusanya maoni kwamba tuwe na Katiba au tusiwe nayo huku Rais amisha sema na kuwaambia Ulimwengu kuwa Katiba mpya lazima iwepo hata kama itamugharimu Urais wake-kwa tamko hilo unakusanya maoni ya nini?
 
Africa tupo kama mazuzu,sasa unakusanya maoni kwamba tuwe na Katiba au tusiwe nayo huku Rais amisha sema na kuwaambia Ulimwengu kuwa Katiba mpya lazima iwepo hata kama itamugharimu Urais wake-kwa tamko hilo unakusanya maoni ya nini?
Ni matumizi tu ya hovyo ya fedha ya walipa kodi wa Tanzania. Maoni yalishachukuliwa na kudadavuliwa vyema kabisa na tume ya katiba ya Warioba na kila mtanzani aanalijua hilo. Sasa haya mambo ya kuunda kikosi kazi cha kuchukua maoni mengine kama vile yale ya tume ya warioba sio maoni valild ni UJINGA wa kiwango cha SGR.

Hii serikali inatafuta tu njia ya kuruka kihunzi cha kuendeleza mchakato wa katiba mpya. Huyu mama anawarubuni tu wapinzani ili wasimkere lakini ukweli ni kwamba huwezi kukata tawi la mti ulilolikalia. Hata kama kweli yeye binafsi ana hiyo dhamira lakini chama chake haikitakubali kiurahisi na hata kama wakikubali basi huo mchakato mzima utatawliwa na hao wa kijani kama tu liliovyokuwa wakati wa Bunge la katiba. In fact mentor yupo kazini.
 
Anachokifanya huyo mkanda wa ndala ndio dhumuni kubwa la hilo dubwasha kikosikazi. Ndio maana chadema tulikikataa hicho kitu kinachoitwa kikosikazi from beginning
 
Wapumbavu hata uwape katiba nzuri kiasi gani bado ni wapumbavu tu na wataendelea kubishana milele amina.

KATIBA MPYA bado itakuwa mali ya wapumbavu ambao ni sisi watanzania kwa mamilioni, TUACHE UPUMBAVU KWANZA.
hata Mungu aliweka amri kwanza ili wanadamu wazijue na wakizivunja ijulikane... hukumu ijulikane.
katiba kwanza ili anayevunja ajulikane na ahukumiwe
 
I don't care what he says about katiba! He is a persistent nonsense person! Tatizo langu ni kazi anayopewa akiwa na ubwege wake. Hajawahi kuwa kiongozi mzuri. Ni wale ambao wako tayari kulawitiwa ili tu apate mkate wake. That is how he is.
 
Watanzania hatujui kudai haki zetu kwani wakoloni ndio walitutia ujinga kwa kutotutawala, wangetutawala tungechangamka tusingechezewa na hizi familia za wachache.
 

sijui mnaelewa au mnaandika tu, kwani toka tumepata uhuru hatuna KATIBA? hiyo katiba ndio inafanya tusiendelee? ncho ngapi za Africa zimebadili katiba lakini bado masikini?
Unaongea utafikiri hii nchi haina Katiba.

Point ya msingi: Kwa wakati huu hiyo katiba tulionayo sio chanzo cha huu umasikini wa Watanzania bali chanzo cha huu umasikini ni tabia binafsi na ujinga wa watu ambao hata uwaletee Katiba nyingine shida itakuwa palepale kama hawajabadirika.

Wengi mnashabikia kwa kuunga tera la wanasiasa pasipo kujua nini mnataka.

Zambia wanakatiba inayoweza kumwajibisha Rais na wengine wakitoka madarakani toka 1980, lakini mpaka leo bado masikini na madini yanachimbwa na mabeberu watakavyo na hawana cha kufanya.

WAAFRICA TUFANYE KAZI TUACHE KUSHABIKIA SIASA ZINAZOTUDANGANYA KWENYE URAHISI.
 
hata Mungu aliweka amri kwanza ili wanadamu wazijue na wakizivunja ijulikane... hukumu ijulikane.
katiba kwanza ili anayevunja ajulikane na ahukumiwe

Kwani Katiba ya sasa haijaweka makatazo na adhabu zake lakini bado watu wanaikanyaga na hizo adhabu hawapewi.

Zipo nchi nyingi Africa zina katiba bora kabisa zakumshitaki mpaka Rais lakini bado ni masikini na tabia zile zile za kipumbavu.

Tanzania ina katiba hakuna aliyesema haina katiba, JE HIYO KATIBA YENYEWE INAFUATWA NA KUTEKELEZWA.?

Vitabu vitakatifu vipo vimetoa mpaka adhabu na vipo toka karne nyingi nyumba bila new version zenye marekebisho lakini watu wanaishi na kufuata maandiko yaleyale na wengine pia wanayavunja Ukiwemo wewe siajabu ndio namba moja kwa ushetwani.
 
PUMBAFU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…