Prof. Mukandala hafai kuongoza tume ya katiba mpya

Kwa hiyo mantiki yako ni kwamba itatokea siku moja kila mtu awe na utashi wa maendeleo mwenyewe bila intervention ya kikatiba? Are you really serious? You are taking things so lightly.

Halafu suala la nchi kuwa maskini pamoja na kuwa na katiba kuna mambo mawili; kwanza katiba yenyewe inaweza ikawa ndio mojwapo ya chanzo cha nchi kutopiga hatua nzuri kimaendeleo kutokana na madhaifu ya hiyo katiba kiuchumi, kisiasa na hata kijamii hivyo kubadili katiba kunaweza ku-accelerate development process, pili suala la nchi kuwa maskini ni mtambuka halitegemei katiba peke yake, kuna factors nyingine nyingi sina haja ya kuzitaja hapa.
 
Nonsense
 
..umelenga kupotosha.

..katiba ya sasa hivi haiheshimiwi kwasababu haina vifungu vinavyoeleleza namna ya kuadhibu wavunja katiba.

..pia katiba yetu haina vifungu vinavyowalinda watakaochukua jukumu la kuilinda katiba na kutetea maslahi ya umma.

NB:

..Korani na Biblia zinapuuzwa ktk maeneo ambako hakuna adhabu kwa wasiofuata mafundisho yake. Kule wanakokata mikono wezi hakuna anayecheza-cheza na maandiko matakatifu.
 
Kuna kitu kinaitwa "Civilization" sijui tuiteje kwa lugha yetu. Watu kuwa civilized inawezekana bila hizo piece of paper, ukileta pieces of paper na watu wenyewe hawajawa civilized watazichana tu na kuchambia.

Umeongelea maendeleo kuwa suala mtambuka linalohitaji factors nyingi, zipo main factors ambazo zikifuatwa kwa katiba hihii Taifa hili lazima lisonge mbele.

USA anamshutumu China kwa sheria za hovyo na Katiba mbovu lakini decipline ya chinese na ndoto zao za kutengeneza Taifa bora zimewafanya kupitia sheria na katiba hiyo hiyo kupiga hatua kimaendeleo.

Brother naomba kukwambia, TATIZO LA WAAFRICA NI UJINGA, UVIVU NA UPUMBAVU MWINGI AMBAO HAUWEZI KUACHWA KUPITIA HAYA MAKARATASI, EITHER WASTAARABIKE AU WATAWALIWE NA MIKONO YA CHUMA.
 
Hata hizo zilikuwa za hovyohovyo kabla ya kuwa makini, Tanzania kwasasa ni ya hovyohovyo na watu wake ukiwemo wewe na mimi labda kama wewe sio MTZ.
TUUACHE KWANZA UHOVYOHOVYO NDIO TUANZE KUTENGENEZA KATIBA NYINGINE.
Kiongozi uelewa wako wa mambo ni mdogo sana

Una IQ ndogo sana

Uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana sana
 
Hakuna mahala Katiba inapotoa hukumu ya wezi wa mali ya umma?wahujumu uchumi, nk? Hizi sheria zinatotumika kuhukumu wahalifu zinatoka wapi? Vipi uhalifu umekoma?

Kule ambako wazinifu hawapigwi mawe au wezi kukatwa mikono hivyo vitabu havijafika? Huko wanakokata wezi mikono vipi wizi na ufisadi umeisha?
 
Wapumbavu hata uwape katiba nzuri kiasi gani bado ni wapumbavu tu na wataendelea kubishana milele amina.

KATIBA MPYA bado itakuwa mali ya wapumbavu ambao ni sisi watanzania kwa mamilioni, TUACHE UPUMBAVU KWANZA.
Hizi ndo akili za uvccm
 
Kiongozi uelewa wako wa mambo ni mdogo sana

Una IQ ndogo sana

Uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana sana

Hongera wewe mwenye uelewa na IQ kubwa na uwezo mkubwa wa kuchambua mambo.
 
SHIDA YA MWAFRICA NI UPUMBAVU, UJINGA NA UVIVU, TUACHE KUTAFUTA KICHAKA CHA KUJIFICHIA.
 
MWAFRICA anataka demokrasia, Katiba nzuri na bora kama ya ulaya na USA nk, huku upande mwingine hataki kufanya kazi, mvivu, malaya, mwizi, majungu, mbinafsi, mnafiki, mchawi na tabia zote za hovyo zinazomfanya either awe masikini au asababishie umasikini wenzie.
 
..katiba yetu ina mianya ya wezi wa mali za umma na wahujumu uchumi kulindana huko serikalini.

..Kuhusu suala misahafu, kule wanakokata mikono vibaka wizi umepungua kwa kiwango kikubwa.
 
KIKOSI KAZI NI WASALITI WA KATIBA MPYA KAMA NI MAONI NA MAPENDEJEZO WANANCHI WALIKWISHA YATOA KWENYE TUME YA WARIOBA SERIKALI IACHE KUCHEZEA KODI ZA WANANCHI KWANINI HAITAKI KUYATUMIA MAONI NA MAPENDEKEZO YA TUME YA WARIOBA?
 
CCM hawayataki maoni ya wananchi wao wanataka maoni ya chama chao ndiyo sababu ya kuunda kikosi kazi kikiwa na mkakati wa kudhoofisha katiba mpya na huyo Mukandala alisema katiba mpya ipatikane baada ya mwaka 2025!
 
Ni mchumia tumbo fulani hivi.
 
KIKOSI KAZI NI WASALITI WA KATIBA MPYA KAMA NI MAONI NA MAPENDEJEZO WANANCHI WALIKWISHA YATOA KWENYE TUME YA WARIOBA SERIKALI IACHE KUCHEZEA KODI ZA WANANCHI KWANINI HAITAKI KUYATUMIA MAONI NA MAPENDEKEZO YA TUME YA WARIOBA?
Ile ni kama chenga aliyotumia Samia kuwakwepa wanazi wa Jiwe.

Ila katiba Mpya na yeye anaitaka.
 
Inasikitisha sana
 
CCM hawayataki maoni ya wananchi wao wanataka maoni ya chama chao ndiyo sababu ya kuunda kikosi kazi kikiwa na mkakati wa kudhoofisha katiba mpya na huyo Mukandala alisema katiba mpya ipatikane baada ya mwaka 2025!
Mkandara na uprofesa wake anataka kusema Tume ya Jaji warioba iliyoongozwa kwa uwazi haiko sawa kuliko ya kwake ya mafichoni?
 
Kuna wazee sijui ilikuwaje wakapata huo Urpof
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…