Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo

Prof Assad ndani ya nyumba, naona mataga wanahaha namna gani pale shuti limepigwa kuelekea mataga hadi sasa magoli ni 4 kwa 0
 
Kwa yote haya nimegundua udikteta Afrika ni muhimu sana.
Ni udikteta pekee ndio unaweza sababisha nchi isonge mbele.
Kwenye udikteta tumeona vingi visivyowezekana vimewezekana.
Ununuzi wa ndege
SGR
Ukarabati na ununuzi wa meli.
Hospital za rufaa na vituo vya afya.
Miundo mbinu yenye tija kwa raia wa chini.
Elimu bure.
Hakuna neno ' unanijua Mimi nani ?"
Maskini wanaunga unga kwa uhuru.
Nimengi Sana acha niishie hapao. Hope Hawa watafanya zaidi baada yakugungmdua mapungufu ya JPM.
MUNGU AWASIMAMIE!
 
Kwenye udikteta tumeona vingi visivyowezekana vimewezekana.
Ununuzi wa ndege
SGR
Ukarabati na ununuzi wa meli.
Hospital za rufaa na vituo vya afya

Miradi hii haijawezekana maana raia, wakulima, wafanyabiashara, wenye viwanda, kodi kwa serikali n.k hawajaanza kuifaidi na hawataweza kuifaidi maana miradi hiyo yote haikufanyiwa upembuzi yakinifu bali ilitumika kama mirija ya rushwa kubwa kubwa.
 
Uwezo wako kwa maswala ya uchumi ni mdogo sana waachie wachangie wenye uwezo mkuu.
 
Huyu sio prof njaa tuu zinamsumbua.. anapenda sana kusifiwa.
 
Tatizo lipo wapi... halafu watu hamsomi

Project ya rufiji ilitakiwa ianze 2014 chini ya JK.
 
Tanzania ina maajabu yake !
 
Well said , kwa kweli ni unmeasurable, hizo takwimu amezitoa wapi? A professor!!! Siyo sawa kuongea bila kuwa na credible authority to support your arguments
 
kafufuka wapi tena huyu yeye angekaa kimya heshima yake itashuka kwa kiropoka ropoka
heshima yake iko pale pale wala haishuki. alisimamia professionalism yake to the very end. even though alifanyiwa mizengwe na bwana mkubwa.
 
Prof. Assad apumzike tu maana hata yeye alikuwa mtumishi wa hovyo na uwezo mdogo ndio maana akatumbuliwa. Kupewa cheo tu eti akajifanya na yeye ni Mhimili! PUMBAVU!!!
 
CAG anadai umeme utatoa Megawat 1200 lkn viongozi serikalini hudai watatoa megawati 2116 huoni kama kuna changa macho, je vipi huyo Mkandarasi alibadilishwa?. Vipi amepozungumzia umeme wa Gas?.
 
Kumbuka tayari pale kulikuwa na mradi unaendelea uliokuwa una simamiwa na RUBADA na Assad amesema hapo kwenye hiyo video. Sasa kama kulikuwa na mradi tayari ukiendelea na yeye alishauri serikali au Tanesco iuchukue na kuuendeleza huo mradi wewe unafikiri kulikuwa na uhitaji wa kupoteza pesa tena kwa ajili ya Feasibilty Study kweli!!?? Kufanya feasibility study nyingine ingekuwa matumizi mabaya ya fedha za umma.
 
CAG anadai umeme utatoa Megawat 1200 lkn viongozi serikalini hudai watatoa megawati 2116 huoni kama kuna changa macho, je vipi huyo Mkandarasi alibadilishwa?. Vipi amepozungumzia umeme wa Gas?.
Na ww uwe una skiliza vizuri...km huskii vzuri tafta mtu akusaidie kuskiliza then akwambie CAG Assad kasemaje....
 
CAG anadai umeme utatoa Megawat 1200 lkn viongozi serikalini hudai watatoa megawati 2116 huoni kama kuna changa macho, je vipi huyo Mkandarasi alibadilishwa?. Vipi amepozungumzia umeme wa Gas?.
Sikiliza vizuri hiyo video RUBADA ndiyo walikuwa wanasimamia mradi huo ambao ungetoa hizo megawatt 1200 lakini alishauri serikali au Tanesco ndiyo ichukue mradi huo kwa kuwa wao wanauzoefu mkubwa na uwezo zaidi. Sasa unashangaa vipi baada ya Serikali kupitia Tanesco kuuchukua mradi huo na kuwa mkubwa zaidi na kwamba utatoa megawatt 2116? Tatizo liko wapi hapo? Maana yake serikali kupitia Tanesco imewekeza zaidi kwenye mradi huo kuliko hao RUBADA ndiyo maana megawatt zimeongezeka. Tumia akili kidogo tu utaelewa mkuu!!
 
Na ww uwe una skiliza vizuri...km huskii vzuri tafta mtu akusaidie kuskiliza then akwambie CAG Assad kasemaje....
Ww ndio husikii vizuri mkuu maana unashindwa kutambua na kuelewa alichosema.
 
Alisema feasibility study ifanyike, Je ilifanyika?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…