Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Yeye hata akifa hana tatizo maana hajifanyi Mungu mtu. Dhalimu sasa ndio ilikuwa tatizo maana alikuwa anajiona ni Mungu wa Tanzania.
Basi atulie. Atuache sisi Sukuma Gang tuendelee kuona "legacy" za Mwamba Magufuli zikiendelea kuzinduliwa. By the way, umeusikiliza vizuri wimbo wa wanachuo wa Chuo cha Utumishi? Ni legacy tupu za Mwamba Magufuli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Namuongelea Tindo

Alifukuzwa kwa vyeti feki vya UNESI.
Nimecheka eti uness, huo uness sasa unavyoandika. Nasema hivi, wafuasi wa dhalimu huku jukwaani mtatapika Hiridhi lazima. Tena kama ww umejiunga juzi januari, utajuta kujichanganya humu,😂😂
 
Basi atulie. Atuache sisi Sukuma Gang tuendelee kuona "legacy" za Mwamba Magufuli zikiendelea kuzinduliwa. By the way, umeusikiliza vizuri wimbo wa wanachuo wa Chuo cha Utumishi? Ni legacy tupu za Mwamba Magufuli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nani alikuwa hata na muda wa kufuatilia hiyo hafla? Nyie ndio mlikuwa na msisimko wa hilo jambo, sio kila mtu. Yaani hao wanachuo ulitegemea waimbe tofauti na hivyo? Hata wangemfufua kwetu wengine sio issue kabisa. Inshort hatumfagilii dhalimu hata kidogo.
 
Nakuzungumzia wewe ulikuwa na vyeti feki vya UNESI [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani hapa nilipo ni kama nakuona, kila ukiona hii I'd unatamani hata ulie. Humu jukwaani nipo sana na utakunya Boga safari hii.
 
Lazima aumie sana, hasa anapoona rais anayejivika uzalendo wa mchongo akiiba hela za wananchi.
Bwasheikh mambo vipi! Kuna mambo tulikubaliana sawa ila hili la kusema aliiba pesa hili tutaulizwa aliziweka wapi? Je zimerudishwa? Hili linaleta ukakasi wenye akili hapa watatushtukia. Nimekufuata huku private ili watu wasione tunabishana kwenye ule uzi. Tukazie kwenye zile hoja nyingine.
 
Wewe na yeye wote wajinga.
 
Haukuwa na muda wa kufuatilia matangazo ya tv, lakini unafuatilia ninachoandika kumhusu Mwamba Magufuli! Safi sana kijana!!
 
lete ushahidi wa maneno yako, otherwise hizo ni chuki zako tu
Kama na yeye huyu mwizi alivyo na chuki kwa JPM.

Juzi kubwa lenye signa.

Linadanganya watu kuwa linasali kumbe mwizi mkubwa.
 
Hakuna siri kwa kuwa ndio kazi yake amewekwa ili afichue ubadhirifu.
Ndiyo atulie maana aalikatwa kichwa na imebaki history kuwa walitumbuliwa halafu hata mshauri wake naye walimtimuaga kwenye chama chake ndiyo maana ni marafiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…