Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Yeye hata akifa hana tatizo maana hajifanyi Mungu mtu. Dhalimu sasa ndio ilikuwa tatizo maana alikuwa anajiona ni Mungu wa Tanzania.
Basi atulie. Atuache sisi Sukuma Gang tuendelee kuona "legacy" za Mwamba Magufuli zikiendelea kuzinduliwa. By the way, umeusikiliza vizuri wimbo wa wanachuo wa Chuo cha Utumishi? Ni legacy tupu za Mwamba Magufuli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Namuongelea Tindo

Alifukuzwa kwa vyeti feki vya UNESI.
Nimecheka eti uness, huo uness sasa unavyoandika. Nasema hivi, wafuasi wa dhalimu huku jukwaani mtatapika Hiridhi lazima. Tena kama ww umejiunga juzi januari, utajuta kujichanganya humu,😂😂
 
Basi atulie. Atuache sisi Sukuma Gang tuendelee kuona "legacy" za Mwamba Magufuli zikiendelea kuzinduliwa. By the way, umeusikiliza vizuri wimbo wa wanachuo wa Chuo cha Utumishi? Ni legacy tupu za Mwamba Magufuli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nani alikuwa hata na muda wa kufuatilia hiyo hafla? Nyie ndio mlikuwa na msisimko wa hilo jambo, sio kila mtu. Yaani hao wanachuo ulitegemea waimbe tofauti na hivyo? Hata wangemfufua kwetu wengine sio issue kabisa. Inshort hatumfagilii dhalimu hata kidogo.
 
Nakuzungumzia wewe ulikuwa na vyeti feki vya UNESI [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani hapa nilipo ni kama nakuona, kila ukiona hii I'd unatamani hata ulie. Humu jukwaani nipo sana na utakunya Boga safari hii.
 
Lazima aumie sana, hasa anapoona rais anayejivika uzalendo wa mchongo akiiba hela za wananchi.
Bwasheikh mambo vipi! Kuna mambo tulikubaliana sawa ila hili la kusema aliiba pesa hili tutaulizwa aliziweka wapi? Je zimerudishwa? Hili linaleta ukakasi wenye akili hapa watatushtukia. Nimekufuata huku private ili watu wasione tunabishana kwenye ule uzi. Tukazie kwenye zile hoja nyingine.
 
Wapo wengi sana wa aina hii ya Prof. Assad, sema tu hawapati nafasi ya kusikika. Hapa hakuna uislamu wala ukristo. Kawaida ya watu waovu hukimbilia kujitetea kwa kutumia hisia kali zinazowagawa watu kama imani ya kidini, tabaka za kiuchumi (wanyonge), jinsia, jiografia (ukabila, ukanda), nk. Kama binadamu Prof. Assad aliumizwa binafsi kama raia na kama mtumishi wa umma aliyeshika nafasi iliyokuwa inalindwa na katiba lakini bado watu waovu wakadiriki kaivunja katiba ya nchi na kumkomoa na kumuumiza! Kuzungumzia uovu huo siyo chuki bali ni wajibu wa kiraia na kizalendo kutukumbusha kama taifa kuhusu mahali pabaya tulipopata kufikishwa na watu waliotaka kutuamisha kuwa wametumwa na Mungu kutukomboa! Kwa mtazamo wa kidini, tulivyoshuhudia kwa macho yetu viongozi wa imani ya kikristo ndiyo walioonyesha "chuki" zaidi kwa vitendo kwa kukemea uongozi wa awamu ya tano kuliko wale wa dini ya Kiislamu. Hayo mafundisho ya "chuki" ya uislamu yako wapi?
Wewe na yeye wote wajinga.
 
Nani alikuwa hata na muda wa kufuatilia hiyo hafla? Nyie ndio mlikuwa na msisimko wa hilo jambo, sio kila mtu. Yaani hao wanachuo ulitegemea waimbe tofauti na hivyo? Hata wangemfufua kwetu wengine sio issue kabisa. Inshort hatumfagilii dhalimu hata kidogo.
Haukuwa na muda wa kufuatilia matangazo ya tv, lakini unafuatilia ninachoandika kumhusu Mwamba Magufuli! Safi sana kijana!!
 
lete ushahidi wa maneno yako, otherwise hizo ni chuki zako tu
Kama na yeye huyu mwizi alivyo na chuki kwa JPM.

Juzi kubwa lenye signa.

Linadanganya watu kuwa linasali kumbe mwizi mkubwa.
 
Hakuna siri kwa kuwa ndio kazi yake amewekwa ili afichue ubadhirifu.
Ndiyo atulie maana aalikatwa kichwa na imebaki history kuwa walitumbuliwa halafu hata mshauri wake naye walimtimuaga kwenye chama chake ndiyo maana ni marafiki!
 
Back
Top Bottom